Nina kiasi cha milioni 3.5 naweza kuifanyia ishu gani?

Nina kiasi cha milioni 3.5 naweza kuifanyia ishu gani?

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,844
Reaction score
6,701
Salama wakuu wa JF!

Last wiki nilikuwa na milioni 6 Kash Ila mpaka wakati huu naandika huu uzi nimebakiwa na milioni 3.5 na hii ndio ya kwngu sasa baada ya kulipa madeni na kufanya manunuzi binafsi ya baadhi ya mahitaji.

Kifupi nilikuwa hovyo km miezi 12 hivi iliyopita, hii hovyo sitailezea sna ila nilikuwa hovyo sana.

So hiki kiasi kimekuja nje ya wakati nilioutarajia, ombi langu kwenu najua JF ni uwanja Mpana wa maarifa niko hapa kupokea ushauri nini naweza kufnya na hiki kiasi ili kupunguza chngamoto na kupata muendelezo wa kuyapambania maisha kupitia hiki nilichonacho.

Kama huko nyuma niliwahi kusema namiliki ghorofa Mbweni namiliki Gari kali nafikiri itakuwa nilikuwa nasumbuliwa na upweke tu kitu pekee ninachomiliki ni mke mwema tu na watoto( hiki kipindi nilichpitia kimenitosha kumpa hii sifa)so leo najitokeza hadharani kuwa si miongoni mwa matajiri wa JF ila ni member wa kawaida na hiyo habari niliyoitanguliza hapo ndio uhalisia wangu
 
Screenshot_20250518_130942_WPS Office.jpg

Whatsapp: 0612607426
 
Back
Top Bottom