Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
- Thread starter
- #41
Kadhi mkuuuuMilion 3.5,
Bia moja 2500
3,500,000/2500= bia 1400
Kwa siku ukinywa bia 5 utakunywa siku 280 sawa na miezi 9!
Unaweka heshima bar miezi 9, lazima utajirike.
Kadhi mkuuuuMilion 3.5,
Bia moja 2500
3,500,000/2500= bia 1400
Kwa siku ukinywa bia 5 utakunywa siku 280 sawa na miezi 9!
Unaweka heshima bar miezi 9, lazima utajirike.
Bila shaka ni biashara ya chumvi 😄 inalipa kweliAnzia hapo nini unapenda?
Mi napenda sana biashara ya chakula tena sio kwa kuifanya ile sijui kupika miwali na michuzi nooo kuna namna huwa naifikiria kuifanya ya tofauti sana na najua itakua poa sana ni vile tu itakua inanihitaji muda mwingi namie sitaweza kuwepo muda wote.....labda nianze na uamuzi wa kuacha kazi
Pili nna fanya biashara ambayo ilikua ni changamoto hilo eneo watu walikua wanaenda kufata huduma mbali, kwahiyo nikaisogeza karibu....niseme tu alhamdullilah japo changamoto hazikosekani.
Kuanzia hapa lete idea yako sasa au nije tu inbobo tujuane 😁
We s n mwanaume lakn?Bro upo serious au unamaanisha nichatie nae inbobo tujuane vizuri 😁
Dah brother.....We s n mwanaume lakn?
Bas nsamehe nam nikipata Hela ntaku PM nipate wazo la biashara 😄😄Dah brother.....