Nina kiasi cha milioni 3.5 naweza kuifanyia ishu gani?

Tia neno mkuu
Wazo la kwanza anza na unachokipenda, nini huwa unatamani kukifanya, biashara gani ukiiona yani unaifurahia unatamani ndo ungekua yako yani.

Pili angalia changamoto mitaa unayoishi na maeneo ya karibu.....kama hakuna mahali pa kula vyombo na dini yako inaruhusu weka pub wachomee na kitimoto (huu ni mfano)

Yote kwa yote hakikisha tu una muda wa kusimamia, kama hauna muda njoo inbobo na huo mtaji wako kesho Vishu Mtata aanze kukuita bwashee
 
Hahaha nimekuelewa mkuu ila bado ntakutafuta kwa ushauri zaidi
 
Anzia hapo nini unapenda?

Mi napenda sana biashara ya chakula tena sio kwa kuifanya ile sijui kupika miwali na michuzi nooo kuna namna huwa naifikiria kuifanya ya tofauti sana na najua itakua poa sana ni vile tu itakua inanihitaji muda mwingi namie sitaweza kuwepo muda wote.....labda nianze na uamuzi wa kuacha kazi

Pili nna fanya biashara ambayo ilikua ni changamoto hilo eneo watu walikua wanaenda kufata huduma mbali, kwahiyo nikaisogeza karibu....niseme tu alhamdullilah japo changamoto hazikosekani.

Kuanzia hapa lete idea yako sasa au nije tu inbobo tujuane 😁
 
Binafsi mawazo niliyonayo ni biashara ya nafaka hasa kuzunguka mikoani kuendana na msimu husika waxo jingine ni phones accessories
 
Nyumbani mke na watoto msosi wanao wa kutosha??Kama ndio na upo dar Anza kuzurura,fanya hivi toa hela ya kula na nauli ya week nzima..nenda kariakoo angalia wafanyabiashara wenye mitaji ya 500k-1M angalia Aina ya biashara zao,wateja wao,mzunguko,faida,changamoto..jifunze kwa kuangalia..toka asubuhi home,Rudi jioni..tembelea Mbagala na kariakoo..for one week Kama ujajifunza kitu na kuamua Nini ufanye,..Pole mkuu..

Hi Mimi imenisaidia Kuna stand nilikua naenda kusoma mchezo,nacheza draft na bodaboda kilingeni ,naagiza chakula,daily naenda asubuhi saa saba naenda kwenye mishe zangu nikapata idea palepale na nikaweka biashara too bad ilikufa but ilinilipa..
 
Noted
 
Back
Top Bottom