Anzia hapo nini unapenda?
Mi napenda sana biashara ya chakula tena sio kwa kuifanya ile sijui kupika miwali na michuzi nooo kuna namna huwa naifikiria kuifanya ya tofauti sana na najua itakua poa sana ni vile tu itakua inanihitaji muda mwingi namie sitaweza kuwepo muda wote.....labda nianze na uamuzi wa kuacha kazi
Pili nna fanya biashara ambayo ilikua ni changamoto hilo eneo watu walikua wanaenda kufata huduma mbali, kwahiyo nikaisogeza karibu....niseme tu alhamdullilah japo changamoto hazikosekani.
Kuanzia hapa lete idea yako sasa au nije tu inbobo tujuane π