Nina kijana mdogo ameathirika naishi nae, anagegeda sana vibinti vya watu, nimsaidiaje?

Madam LadyAJ kwa heshima yako tafadhali...Rudi njia kuu,epuka huo mjadala
Kwa heshima yako
Huyu ni msengere nyuma tuuu,kinuka mkojo,anatafuta wa kumkojoza huyu.m.k.u.n.d.uwake mchaafuuu,,halafu anautingisha na kuimba churaaaa,akachambeeeee kwanza we chichidodoooo
 
Pole sana mkuu,hapo inabidi uwe unafatilia cm zake kwa siri bila yeye kujua,ukikutana na sms za mapenzi,mtafute anae wasiliana nae umpe ushauri namna ya kuishi na dogo mwathirika,na umwelekeze tu asimnyanyapae ila umpasulie ukweli kuwa dogo ni mgonjwa,hapo utakuwa umemuokoa asiambukizwe maana dogo anaonekana jeuri
 
siyo kila unaetembea na mwathirika utaupata kupata hiv ni mpaka usugue kweli kweli patokee mchubuko wote wawili unaweza kusex na mwathirika kama umemwandaa vizuri ukamlainisha na kutokukamia mechi ukatoka salama mkuu..
Sasa jamaa anakuambia na suga haswa n akishafanya yke mara mbili tatu anatema ananza project mpya
 
Akimuudhi sana atawachanja na kuwaambukiza makusudi,mimi ningemtimua ..potelea mbali..unakumbatia nyuki mkuu!
kweli,ni hatari sana kuishi na mtu ambae haikubali hali yake
 
Acha ushamba bwana....

*najuwa!!!!!
*kwa ha vitabu vya mungu!!!!!
*zambi!!!!
*kwa acha awagawie!!!!

We jamaa ni mshamba kweli.... Utadhani mwanaume wa mikoani

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

hatuna neno "mwanaume" katika lugha ya kiswahili bali tuna neno "mwanamume" .........usipende kurekebisha wenzako hali na wewe hujui vizuri...........
 
hatuna neno "mwanaume" katika lugha ya kiswahili bali tuna neno "mwanamume" .........usipende kurekebisha wenzako hali na wewe hujui vizuri...........


Na wewe nae acha UBOYA...

Mwanaume ni LAHAJA ya pwani ya Lamu..
Mwanamume ni LAHAJA ya Kingazija...

Mimi natumia LAHAJA ya pwani ya Lamu..

Kumbe na wewe mshamba tuu!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hapa pagumu...

Tatizo kijana kama vile hajajikubali ingawa ana haki ya kuwa na mpz ila hana haki ya kuambukiza mtu
 
Huyu kijana akirudishwa kwao ndio atazidi kuambukiza kama kuwakomoa wengine, inaonekana ameshakata tamaa, na hivi anaishi town basi akifika kijijini videmu vitamshobokea balaa. Ni afadhali abakie naye amtafutie washauri wa saikolojia wamsaidie.


asante..ni mtazamo wako!

kwangu mimi ningemrudisha tu.
 
Haijalishi atajisikia vibaya au vipi,lazima ukae nae chini kwa Mara nyingine na kumwambia ukweli kuwa afanyalo sio vizuri unless anatumia kinga,lakini pia kama anataka kuanzisha mahusiano basi awe muwazi kwa huyo mpenzie juu ya hali yake,hatua nyingine zifuatwe iwapo atakaidi,anatakiwa afikiria maisha ya wengine pia,vipi ingekuwa Yeye afanyiwa hivyo angejisikiaje,pia anatakiwa afanyiwe cancelling.
 
Aisee huu ushauri umenipa matumaini,nilianza kukumbuka ad vichenchede vyang nilivyopiga peku,dah!!!Siludiii tena
 
Asante kwa ushauri
 
Nafikiri ushapata ushauri wa kutosha.

Niache nipite mkuu.

Maana ushauri wangu
Hutauweza ni lazima
Uwe na roho ngumu
Sana kuukubali na
Kuufanyia kazi ushauri wangu.
 
Ha ha ha hio simple sana, Huyo dogo mrudishe Bush kisha muwezeshe maisha kama kumfungulia mradi kama duka ama kilimo na ufugaji au mpe boda boda kisha mueleze ukweli kuwa kadri anavyojiingiza kwenye mapenzi ndivyo anavyo fupisha maisha yake. Kwakuwa ni mtu mzima ushauri haulazimishwi na ukiendelea kumfuga hapo kwako yatakayokukuta usimlaumu yeyote. Muwezeshe akaishi maisha yake mbali na hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…