Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Unakata au unasaga tangawizi ndimu unaosha haumeny unakata kata vipande 4 unaweza ongeza na garlic unachemsha kabla haijapoa unakunywa
Faida
Itafungua Upper airway
Ndimu ni vitamin C itaboost immunity

ZIADA
Ukiweza kwenye mkusanyiko vaa barakoa
Asante sana kwa kunifafanulia, nitafanya hivyo 🙏
 
#HABARI Wizara ya Afya nchini imetangaza ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uvi-ko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

Mganga Mkuu wa serikali Dk Grace Magembe amesema kumekuwepo na ongezeko la tetesi zinazo-husiana na magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa katika jamii hapa nchini.

“Hali ya kuongezeka na kupungua kwa ugonjwa huu imekuwepo kila mwaka tangu kutangazwa kwa ugonjwa huu mwaka 2020. Kwa kipindi hiki ongezeko hili linaonekana zaidi katika Mkoa wa Dar es Salaam,” amesema Dk Magembe.

Wananchi wametakiwa kuzingatia kanuni za afya kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya maam-bukizi ya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa.
@wizara_afyatz
#EastAfricaTV
 
Lazima upwaye kama unapenda kuwa treated kama mwanamke why usipwaye? Sisi wanaume wengine tunaendelea kupinga hizi tabia za kujifanya nyie ni wanawake. Tuwatongoze kisha mtake tupatia utumbo.
Ondoa shobo, leo fyuzi yangu fupi, nitakutukana nipigwe ban bure!
 
Nend pharmacy waambie wakupe brustan tablet na toff plus ya mafua zile za chenga chenga
 
Naomba fanya ma-creativity ufungue Uzi kama ule wa jana usiku ili mori zitupande, wasio na uwezo wa simamisha nao wasimamishe michezo ya kwa 🛏️ iendelee.

Mbaga Jr
Loooh wewe bado una ashiki za jana nini 😂 😂 😂
Uzi wenyewe wa jana umefungiwa na mods wamefuta replies almost 100. Nilivyoamka nikabaki nacheka tu 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…