Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Utajuaje huu ni ushauri wa daktari na huu ni ushauri wa ambae sio wa daktari?
Ushauri mwingi ninaopokea ni wa hizi dawa za vyakula au vinywaji.
Nikipata wa kitabibu, either nitamfuata daktari DM kwanza kupata taarifa zaidi au nitamuuliza daktari mwingine kesho nikienda hoospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…