Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

Mkuu sijasema freshers wasiolewe Wala sisemi watu wawaoe single mama point yangu ni wasidharauliwe hata wao Wana haki ya kupata unachokipenda ,ibaki Sasa Kila mtu na interest zake hupendi acha usijilazimishe ,yule anaeona anafaa ni kwake asionekane hayupo sawa kiakili vingine havihitaji complications
 
Asante kwa kulitambua Hilo,unaweza ukaoa single mom na mkaishi vizuri tu,na ukaoa bikra akakuletea mtoto wa nje, so what's matter is love
Chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Love tena kwani upo kwenye tamthilia. Wewe kiishi kimkakati na kujipanga kimaendeleo, love waachie teenagers. Ukishakuwa, hakuna kitu kinaitwa love itabaki kati ya wewe na wazazi wako tu. Huku ni majukumu, Love uko na 25yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaaa
 
Ila kweli kuoa single maza shida japo ukweli usemwe mbususu zao tamuuuu
 
Mrejesho mkuu
 
Boss umefika wapi.
 
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
Nimesoma hii Paragraph hadi nikaweka mikono Kichwani๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

Most likely huyu jamaa ndiye alimtoa Bikra sio tu bikra ya Mboo bali akamtoa na bikara ya Uzazi.

These two are spritually connected despite any factor.
 
We jama hata kama ni ukweli lakini mbona unatumia Hasira? Walikufanya nini Single Mama?

Ni sisi wanaume tunawadanganya kuoa akishapata mimba tunakimbia sasa hapo Kosa la nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ