Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Kweli kbsaFanya kile unachoona sawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kbsaFanya kile unachoona sawa...
Aweke wazi kuhusu suala la mtoto, lakini ahakikishe kuwa huyo mchumba ake Hana kabisa mawasiliano na mzazi mwenza. Na achukue majukumu kwa 100% ya mtoto huyo...Chief
Kama unaamini kabisa na nafsi inakwambia huyo ndio chagua lako,nakushauri jitwishe huo mzigo chap.
Khs mtoto usiseme kwasasa hlf huko mbeleni unatengeneza story kwamba kumbe wife alikuwa na mtoto Ila aliogopa kuniambia kwa kuhofia nisinge funga nae ndoa,hapo ishu imeisha.
Kumbuka mwisho wa siku ni mke wako na wewe ndo utawajibika Kwa maamuzi yako.
Aweke wazi kuhusu suala la mtoto, lakini ahakikishe kuwa huyo mchumba ake Hana kabisa mawasiliano na mzazi mwenza. Na achukue majukumu kwa 100% ya mtoto huyo...
Mike mwenyewe wife angu nilimkuta na mtoto ambaye alipatikana kpnd wife Yuko 18 yrs. Wakati wa mwanzo wa mahusiano yetu sikuwaambia chochote na hawakuwa wanamfahamu, miezi michache badae nikawaambia kuwa mchumba angu ana mtoto ambaye yupo kwao (ukweni kwangu)... Maisha yaliendelea mpaka nikabahatika kupata 1st born wangu, kwa Sasa mi na yeye tuna watoto 2, jumla 3,,, huyo dogo wa 1 kwa wife tulimchumkua kutoka ukweni akiwa drs la 5, this tym Yuko 4m 3,,, ananiita baba na sijawahi kuntamkia kuwa Mimi sio baba yake mzazi,,, ila nadhani anafahamu hilo kuwa mi sio baba yake mzazi.... Ubini anaotumia ktk taarifa za shule ni ule wa baby mzaa mama, ninasubiri amalize 4m 4 nidokeze suala la kumbadilishia ubini
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Upendo tuKuna wanaume mna roho ngumu.Yaani mechi unaianza ushafungwa?
Nenda kwa ...Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
KawaidaNenda kwa ...
Haha 1. - 0Kuna wanaume mna roho ngumu.Yaani mechi unaianza ushafungwa?
Tunatofautiana sanaHaha 1. - 0
ni wapumbavu na wajingaHivi jamii inawachukuliaje single maza?
NAKAZIAni wapumbavu na wajinga
HatarAiseee......
kaz kwel kwelChangamoto
Unataka kuoa mke wa mtu wewe. Tafuta wako.Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
imekula kwako, atakuganda kama gundi.Habari za usiku wana JF,