Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

Aweke wazi kuhusu suala la mtoto, lakini ahakikishe kuwa huyo mchumba ake Hana kabisa mawasiliano na mzazi mwenza. Na achukue majukumu kwa 100% ya mtoto huyo...
Mike mwenyewe wife angu nilimkuta na mtoto ambaye alipatikana kpnd wife Yuko 18 yrs. Wakati wa mwanzo wa mahusiano yetu sikuwaambia chochote na hawakuwa wanamfahamu, miezi michache badae nikawaambia kuwa mchumba angu ana mtoto ambaye yupo kwao (ukweni kwangu)... Maisha yaliendelea mpaka nikabahatika kupata 1st born wangu, kwa Sasa mi na yeye tuna watoto 2, jumla 3,,, huyo dogo wa 1 kwa wife tulimchumkua kutoka ukweni akiwa drs la 5, this tym Yuko 4m 3,,, ananiita baba na sijawahi kuntamkia kuwa Mimi sio baba yake mzazi,,, ila nadhani anafahamu hilo kuwa mi sio baba yake mzazi.... Ubini anaotumia ktk taarifa za shule ni ule wa baby mzaa mama, ninasubiri amalize 4m 4 nidokeze suala la kumbadilishia ubini

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana.
 
Nenda kwa ...
 
ni wapumbavu na wajinga
NAKAZIA
Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba
 
Unataka kuoa mke wa mtu wewe. Tafuta wako.
 
imekula kwako, atakuganda kama gundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…