Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Lakini Nina hadhinya kukufumia Malinda shubamiti weKeti hapa 🖕, huna hadhi ya kunijibu.

Kaa hapa juu 🖕upate kuenjoy, Mr papai.Lakini Nina hadhinya kukufumia Malinda shubamiti we
Unanita Mr kumbe unajua moto wangu sawa Mrs nimekuelewa hicho kidole ndio unacho jifyonyola, shubamiti weweKaa hapa juu 🖕upate kuenjoy, Mr papai.
Nesanesa juu ya huu msumari 🖕Unanita Mr kumbe unajua moto wangu sawa Mrs nimekuelewa hicho kidole ndio unacho jifyonyola, shubamiti wewe
Uamuzi mzuri sana,Mafia kuna utulivu mkubwa na viwanja mashamba bei bado zipo chini kwa sasa, ila wazungu wananunua maeneo miaka sio mingi bei zitakuwa juu sana.Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila isiwe beach plot lakin pawe karibu sana isizidi kilomita Moja kutoka mwanzo mwa bahari.
2. Uwepo wa watalii, kwa akili ya biashara zangu tazo anzisha.
3. Uwepo wa lounge sio bar mana napenda kujirusha.
4. Shughuli ambazo zinaweza kuniingizia kipato au mradi nao weza anzisha ukaniingizia pesa
5. Uwepo w totoz, sura si muhimu sana ila naUngumzia upatikanaji wake, au Sheria ni Kali za kiimani.
6. Uwepo wa mtandao, active network na usafiri wa uhakika, kuingia na kutoka kisiwani.
7. Chuki kwa wageni.
8. Umeme
Mengine yanavumilika
Nimesema huna akili msumali upo wapi hapo, shubamitiNesanesa juu ya huu msumari 🖕
We kweli Shoga, hata badala ya kusema 'msumari' we unasema 'msumali'.Nimesema huna akili msumali upo wapi hapo, shubamiti
Sawa mauzindeWe kweli Shoga, hata badala ya kusema 'msumari' we unasema 'msumali'.
Haya kaa hapa 🖕 haraka.
Alexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila isiwe beach plot lakin pawe karibu sana isizidi kilomita Moja kutoka mwanzo mwa bahari.
2. Uwepo wa watalii, kwa akili ya biashara zangu tazo anzisha.
3. Uwepo wa lounge sio bar mana napenda kujirusha.
4. Shughuli ambazo zinaweza kuniingizia kipato au mradi nao weza anzisha ukaniingizia pesa
5. Uwepo w totoz, sura si muhimu sana ila naUngumzia upatikanaji wake, au Sheria ni Kali za kiimani.
6. Uwepo wa mtandao, active network na usafiri wa uhakika, kuingia na kutoka kisiwani.
7. Chuki kwa wageni.
8. Umeme
Mengine yanavumilika
Safi mkuu kuhusu makaxi ya kudumu bei za viwanja walau isiwe beach plot iwe kama km Moja kutoka baharini viwanja vya kawaida tu kidogo shingapi mkuu?Alexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.
Mafia ni mojawapo ya halmashauri za kimkakati, ndio kunachangamka. Wengi wanavyoisikia Mafia na uhalisia ulivyo ni tofauti.
1. Beach plots nyingi zishabebwa na mabeberu, hata kama zipo zina bei iliyofura. Kuna madalali wamefanya bei ziwe juu, ijapokuwa wenyeji hawajajua thamani ya ardhi yao. Mashamba yapo, lkn ni kuwa makini usijeingia mgogoro na wawekezaji wa kiarabu walionunua toka enzi za Nyerere.
2. Biashara ya utalii ni seasonal kama zilivyo sehemu nyingine, usiwe na matarajio makubwa coz utalii wa huku ni wa chini ya bahari...diving, Snokering n.k. Kuna viboko walivuka kutoka rufiji nadhani kipindi cha elnino, kisiwa chenye popo n.k
3. Mafia kuna Uislam uliosimama, kuhusu lounge zenye hadhi kama kitambaa cheupe na nyinginezo huku hamna. Ni bar ziliochangamka kama cossovo, pia kuna sheria ya ikifika majira ya saa sita usiku bar zote hufungwa lkn hii hutegemea na maamuzi ya mkuu wa wilaya aliyepo.
4. Shughuli kuu ni uchumi wa bluu, dagaa, mwani, samaki, utalii wa baharini, biashara za kuingiza bidhaa na kutoa bidhaa. Angalia value chain ya hizo sekta tafuta moja jikite hapo.
5. Kuna watotoz wa kishiraz ni mix fulan ya kibantu..kiarabu na wairan. Wapo waburush hii ni mix ya kiarabu na bantu. Wapo wamakonde wa kutosha na wadengereko, wazaramo na wageni wengi kutoka mikoa mbalimbali. Nature ya mabinti wa kiislamu siyo wazururaji na bar hawaendi, unaweza ukafika ukadhani hamna totoz. Vizia kipindi cha matukio ya kidini na harusi utashangaa. Mke wa mtu ni sumu, kipindi cha nyuma mtindo wa kutengenezewa ndoa za mkeka ulikuwepo sana, siku hizi mchanganyiko wa watu umeua hiyo tabia.
6. Network ya kimawasiliano ipo, makampuni yote ya simu yapo ingawa huko vijijini ndani bado shida kidogo. Kwa mjini hapa TTCL fibre ipo na wauza Wi-Fi wapo. Usafiri ndio shida, tuna kivuko kimoja cha capacity ya abiria 200 na mizigo yake, bandari zetu bado zina mchanga hivyo ratiba ya safari huamuliwa na kupwa na kujaa kwa maji. Usafiri wa ndege upo muda wote mwisho jioni coz bado airport haina taa, nauli 165,000 hadi 185,000 inategemea na ndege na bei ya mafuta kwa muda huo. Kuna meli nyingine inaundwa, nadhani hadi mwakani inaweza kuanza safari hivyo kupunguza kadhia ya sasa hivi
7. Chuki kwa wageni haipo wazi, ila ndani kwa ndani na sometimes kuna ile hali ya udini.
8. Umeme bado unatumika unaofuliwa na genereta za tanesco, ila tathimini ishafanyika ya kuunganishwa na gridi ya taifa. Ukipita kwenye page za tanesco utaona.
Nimekujibu kwa uchache, kama unaweza karibu spend hata mwezi ukikusanya data za unachotaka. Mafia ukisimuliwa utaiona mbaya coz ya changamoto ya usafiri, lkn kuna Beach natural ukifika unasema hakika Mungu kaumba.
Alexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.

3. Mafia kuna Uislam uliosimama, kuhusu lounge zenye hadhi kama kitambaa cheupe na nyinginezo huku hamna. Ni bar ziliochangamka kama cossovo, pia kuna sheria ya ikifika majira ya saa sita usiku bar zote hufungwa lkn hii hutegemea na maamuzi ya mkuu wa wilaya aliye
po.
4. Shug
#7 kdg nakubaliana nayoAlexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.
Mafia ni mojawapo ya halmashauri za kimkakati, ndio kunachangamka. Wengi wanavyoisikia Mafia na uhalisia ulivyo ni tofauti.
1. Beach plots nyingi zishabebwa na mabeberu, hata kama zipo zina bei iliyofura. Kuna madalali wamefanya bei ziwe juu, ijapokuwa wenyeji hawajajua thamani ya ardhi yao. Mashamba yapo, lkn ni kuwa makini usijeingia mgogoro na wawekezaji wa kiarabu walionunua toka enzi za Nyerere.
2. Biashara ya utalii ni seasonal kama zilivyo sehemu nyingine, usiwe na matarajio makubwa coz utalii wa huku ni wa chini ya bahari...diving, Snokering n.k. Kuna viboko walivuka kutoka rufiji nadhani kipindi cha elnino, kisiwa chenye popo n.k
3. Mafia kuna Uislam uliosimama, kuhusu lounge zenye hadhi kama kitambaa cheupe na nyinginezo huku hamna. Ni bar ziliochangamka kama cossovo, pia kuna sheria ya ikifika majira ya saa sita usiku bar zote hufungwa lkn hii hutegemea na maamuzi ya mkuu wa wilaya aliyepo.
4. Shughuli kuu ni uchumi wa bluu, dagaa, mwani, samaki, utalii wa baharini, biashara za kuingiza bidhaa na kutoa bidhaa. Angalia value chain ya hizo sekta tafuta moja jikite hapo.
5. Kuna watotoz wa kishiraz ni mix fulan ya kibantu..kiarabu na wairan. Wapo waburush hii ni mix ya kiarabu na bantu. Wapo wamakonde wa kutosha na wadengereko, wazaramo na wageni wengi kutoka mikoa mbalimbali. Nature ya mabinti wa kiislamu siyo wazururaji na bar hawaendi, unaweza ukafika ukadhani hamna totoz. Vizia kipindi cha matukio ya kidini na harusi utashangaa. Mke wa mtu ni sumu, kipindi cha nyuma mtindo wa kutengenezewa ndoa za mkeka ulikuwepo sana, siku hizi mchanganyiko wa watu umeua hiyo tabia.
6. Network ya kimawasiliano ipo, makampuni yote ya simu yapo ingawa huko vijijini ndani bado shida kidogo. Kwa mjini hapa TTCL fibre ipo na wauza Wi-Fi wapo. Usafiri ndio shida, tuna kivuko kimoja cha capacity ya abiria 200 na mizigo yake, bandari zetu bado zina mchanga hivyo ratiba ya safari huamuliwa na kupwa na kujaa kwa maji. Usafiri wa ndege upo muda wote mwisho jioni coz bado airport haina taa, nauli 165,000 hadi 185,000 inategemea na ndege na bei ya mafuta kwa muda huo. Kuna meli nyingine inaundwa, nadhani hadi mwakani inaweza kuanza safari hivyo kupunguza kadhia ya sasa hivi
7. Chuki kwa wageni haipo wazi, ila ndani kwa ndani na sometimes kuna ile hali ya udini.
8. Umeme bado unatumika unaofuliwa na genereta za tanesco, ila tathimini ishafanyika ya kuunganishwa na gridi ya taifa. Ukipita kwenye page za tanesco utaona.
Nimekujibu kwa uchache, kama unaweza karibu spend hata mwezi ukikusanya data za unachotaka. Mafia ukisimuliwa utaiona mbaya coz ya changamoto ya usafiri, lkn kuna Beach natural ukifika unasema hakika Mungu kaumba.
Umaskini uliopo huko unaweza kuushika kwa mikono miwiliNilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila isiwe beach plot lakin pawe karibu sana isizidi kilomita Moja kutoka mwanzo mwa bahari.
2. Uwepo wa watalii, kwa akili ya biashara zangu tazo anzisha.
3. Uwepo wa lounge sio bar mana napenda kujirusha.
4. Shughuli ambazo zinaweza kuniingizia kipato au mradi nao weza anzisha ukaniingizia pesa
5. Uwepo w totoz, sura si muhimu sana ila naUngumzia upatikanaji wake, au Sheria ni Kali za kiimani.
6. Uwepo wa mtandao, active network na usafiri wa uhakika, kuingia na kutoka kisiwani.
7. Chuki kwa wageni.
8. Umeme
Mengine yanavumilika
Miaka gani hyo 😄Mafia kipindi hiko unasubiria Konyagi kutoka Nyamisati
Mnakaa Bandarini kupokea Konyagi kwa Shangwe,Vififijo na Nderemo
Bora mradi ule uliisha
Ikijaga ishu ya Mafia Sina wasiwasi na wewe kaka. Naamini November nitakua mgeni wa hapo kwa siku 2.Alexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.
Mafia ni mojawapo ya halmashauri za kimkakati, ndio kunachangamka. Wengi wanavyoisikia Mafia na uhalisia ulivyo ni tofauti.
1. Beach plots nyingi zishabebwa na mabeberu, hata kama zipo zina bei iliyofura. Kuna madalali wamefanya bei ziwe juu, ijapokuwa wenyeji hawajajua thamani ya ardhi yao. Mashamba yapo, lkn ni kuwa makini usijeingia mgogoro na wawekezaji wa kiarabu walionunua toka enzi za Nyerere.
2. Biashara ya utalii ni seasonal kama zilivyo sehemu nyingine, usiwe na matarajio makubwa coz utalii wa huku ni wa chini ya bahari...diving, Snokering n.k. Kuna viboko walivuka kutoka rufiji nadhani kipindi cha elnino, kisiwa chenye popo n.k
3. Mafia kuna Uislam uliosimama, kuhusu lounge zenye hadhi kama kitambaa cheupe na nyinginezo huku hamna. Ni bar ziliochangamka kama cossovo, pia kuna sheria ya ikifika majira ya saa sita usiku bar zote hufungwa lkn hii hutegemea na maamuzi ya mkuu wa wilaya aliyepo.
4. Shughuli kuu ni uchumi wa bluu, dagaa, mwani, samaki, utalii wa baharini, biashara za kuingiza bidhaa na kutoa bidhaa. Angalia value chain ya hizo sekta tafuta moja jikite hapo.
5. Kuna watotoz wa kishiraz ni mix fulan ya kibantu..kiarabu na wairan. Wapo waburush hii ni mix ya kiarabu na bantu. Wapo wamakonde wa kutosha na wadengereko, wazaramo na wageni wengi kutoka mikoa mbalimbali. Nature ya mabinti wa kiislamu siyo wazururaji na bar hawaendi, unaweza ukafika ukadhani hamna totoz. Vizia kipindi cha matukio ya kidini na harusi utashangaa. Mke wa mtu ni sumu, kipindi cha nyuma mtindo wa kutengenezewa ndoa za mkeka ulikuwepo sana, siku hizi mchanganyiko wa watu umeua hiyo tabia.
6. Network ya kimawasiliano ipo, makampuni yote ya simu yapo ingawa huko vijijini ndani bado shida kidogo. Kwa mjini hapa TTCL fibre ipo na wauza Wi-Fi wapo. Usafiri ndio shida, tuna kivuko kimoja cha capacity ya abiria 200 na mizigo yake, bandari zetu bado zina mchanga hivyo ratiba ya safari huamuliwa na kupwa na kujaa kwa maji. Usafiri wa ndege upo muda wote mwisho jioni coz bado airport haina taa, nauli 165,000 hadi 185,000 inategemea na ndege na bei ya mafuta kwa muda huo. Kuna meli nyingine inaundwa, nadhani hadi mwakani inaweza kuanza safari hivyo kupunguza kadhia ya sasa hivi
7. Chuki kwa wageni haipo wazi, ila ndani kwa ndani na sometimes kuna ile hali ya udini.
8. Umeme bado unatumika unaofuliwa na genereta za tanesco, ila tathimini ishafanyika ya kuunganishwa na gridi ya taifa. Ukipita kwenye page za tanesco utaona.
Nimekujibu kwa uchache, kama unaweza karibu spend hata mwezi ukikusanya data za unachotaka. Mafia ukisimuliwa utaiona mbaya coz ya changamoto ya usafiri, lkn kuna Beach natural ukifika unasema hakika Mungu kaumba.
Hii siezi weka wazi mkuuMiaka gani hyo 😄
Ova