Wapi huko mafiaBro mrangi nikipata stori Yako nasikia hadi wazee walikudaka na pingu juu almanusura uishie jela
Ndio kaka nisha wahi kusoma storia Yako humu kipindi hichoWapi huko mafia
Ova
Sasa kumbe ni kimji nitofauti na wadau wanapo sema kua ni Kijiji haswa Yani hamna town ni center tu ndio ipoyapo
maduka yapoMaduka makubwa ya phone accessories, hardware, maduka ya bidhaa za jumla Kam sukari, unga nk yapo au hamna mana hizo ndio Fursat za kuwaia huko
Asee kaka shukran sana haya ndio mambo mazuri, ushahidi unaonesha kumbe sio local kivile unajua nilitaka nije nijichimbie zangu porini huko nipumzike zangumaduka yapo
View attachment 3686067
Ahh nlikaa ndani huko mbona 😄 sema kesi nlichezesha nkajatokaNdio kaka nisha wahi kusoma storia Yako humu kipindi hicho
Kaka najichanga nipate kiwanja kule lakini isiwe visiwani nataka mafia hapo hapo si jibondo kakaAhh nlikaa ndani huko mbona 😄 sema kesi nlichezesha nkajatoka
Si ile operation wkt magu wazir wa uvuvi,uwekezaji wangu na nlipoteza boti zangu 2 na machine
Wakojani nlikutokea tu kuwaona nuksi!
Ila mafia naijuwa in/out
Jibondo kisiwani mpk leo nna makazi
Kisiwani pale nmepashit tu
Kisiwa kina wambeya kile 😄
Balaaa
Ova
wakojani ndio makontawa wa bahaarini 😁Ahh nlikaa ndani huko mbona 😄 sema kesi nlichezesha nkajatoka
Si ile operation wkt magu wazir wa uvuvi,uwekezaji wangu na nlipoteza boti zangu 2 na machine
Wakojani nlikutokea tu kuwaona nuksi!
Ila mafia naijuwa in/out
Jibondo kisiwani mpk leo nna makazi
Kisiwani pale nmepashit tu
Kisiwa kina wambeya kile 😄
Balaaa
Ova
Kaka Pako poa ila mi hua napenda changanyikeni lounge bas bar iwe safi sio fujo na utaratibu usio eleweka mkuu
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com
Kama una hela kweli, sehemu za kuatanua hizo hapo
Nmewakimbiza sanawakojani ndio makontawa wa bahaarini 😁
Sehemu kama hizo unatakiwa uwe na pesa Yani unaishi zako poa tu, nyumba Yako Kali fence safi beach plot swafiiiNmewakimbiza sana
Sema nlipoingia mafia nliingia na gia kubwa mpk wakojani wakasema hyu mwamba katokea wapi
Ila jibondo nlipapenda ukijichimbia huko hkn gozgoz
Ova
Sasa jibondo ni visiwa nje ya halmashsuri kilindoniKaka najichanga nipate kiwanja kule lakini isiwe visiwani nataka mafia hapo hapo si jibondo kaka
TobaaUtakua unakuja nakupiga blowjob
Unaweza hata kwenda mkuranga ukaingia ndani ndani hko pwani magawa ukajipatia eneo beachSehemu kama hizo unatakiwa uwe na pesa Yani unaishi zako poa tu, nyumba Yako Kali fence safi beach plot swafiii
Kuna shida gani kwa Watu wa mafiaKilindoni jau wakuda wengi
Mimi muda mwingi nlikuwa camp jibondo!
Ila kwa yaliyonikutaga huko ahh kukanikata stim kabisa
Ova
KumbeLilikuwa jini. Kuna majini mengi sana Mafia.