mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Ah ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa hukoHii siezi weka wazi mkuu
Kuna maboss wangu humu mpaka leo
Kwa shuguli za uvuvi
Nlipuyanga mafia hadi kilwa
Ila watu nliona michosho tu
Ova
Ah ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa hukoHii siezi weka wazi mkuu
Kuna maboss wangu humu mpaka leo
Mkuu yaani ilikua shida sanaAh ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa huko
Kwa shuguli za uvuvi
Nlipuyanga mafia hadi kilwa
Ila watu nliona michosho tu
Ova
Kilindoni jau wakuda wengiMkuu yaani ilikua shida sana
Mafia kipindi hiko hata kupata demu tu shida
Tena wakishajua unaitwa John,Ndulu Dickson ama Henry
Ndio usahau kabisa kupata manzi
Nilikaa miezi Mitatu bila kula mzigo
Mpaka nikaja kuunganishwa na mtu kutoka Mwanza
Ndio ile,mbona fulani yupo huko
Naomba nikutumie namba zake umcheck
Ndio angalau nikashusha mzigo
Ile napiga bao,manzi anadai eti kama kapondwa na embe huko ndani
Nauliza kwanini?
Mengi mnooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
viko viwanja hupimwa na kuuzwa na halmashauri, hivi bei hutofautiana kulingana na eneo. Na viko watu wanauza, ukimshika mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji unapata eneo kiroho safi bila kutumia dalali. Njoo ingia field usiogopeSafi mkuu kuhusu makaxi ya kudumu bei za viwanja walau isiwe beach plot iwe kama km Moja kutoka baharini viwanja vya kawaida tu kidogo shingapi mkuu?
True, licha ya geographia ya kisiwa na nature ya wakazi kuwa wavivu. Hawa jamaa wanalogana sana, uchawi wao ni ule wa kuharibu na hakuna wa kukuagua hadi uvuke. Ila kwa wageni ukija lazima wakukague energy yako ikoje, nafanya kazi vijijini hivyo napenda kuwachunguza wazee hayo mamboUmaskini uliopo huko unaweza kuushika kwa mikono miwili
Lakini hapo kwenye utalii sija kuuelewa una maana watalii hamna mpaka msimi wao au ni kama zenji wanakuwepo ila kwa uchacheviko viwanja hupimwa na kuuzwa na halmashauri, hivi bei hutofautiana kulingana na eneo. Na viko watu wanauza, ukimshika mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji unapata eneo kiroho safi bila kutumia dalali. Njoo ingia field usiogope
Duuh kumbe unarogwa kwanza ili wakupome kama utastahimili au kama nawe ni kibokoTrue, licha ya geographia ya kisiwa na nature ya wakazi kuwa wavivu. Hawa jamaa wanalogana sana, uchawi wao ni ule wa kuharibu na hakuna wa kukuagua hadi uvuke. Ila kwa wageni ukija lazima wakukague energy yako ikoje, nafanya kazi vijijini hivyo napenda kuwachunguza wazee hayo mambo
Hii mitaka taka imekuwa mingi na kubwa la john sin yamekuwa mengi humu jf mpaka kinyaa.Jamaa hajui kuwa kule mashoga hawaruhusiwi 😂
Hii mitaka taka imekuwa mingi na kubwa la john sin yamekuwa mengi humu jf mpaka kinyaa.Jamaa hajui kuwa kule mashoga hawaruhusiwi 😂
aisee karibu mkuuIkijaga ishu ya Mafia Sina wasiwasi na wewe kaka. Naamini November nitakua mgeni wa hapo kwa siku 2.
Pamoja sana.
hapana 😁, unapoingia eneo lolote lazima wakuu wa anga wa mahali pale wakukague. Hii ni ishu za kiroho na nni kawaida sanaDuuh kumbe unarogwa kwanza ili wakupome kama utastahimili au kama nawe ni kiboko
Ahaa ndio mana nilipo hamia Arusha mianzini, kwenye nyumba Fulani USIKU niliota wamekuja watu hivi Mzee kavaaa shuka la masai na wengine, walinizingua asubuhi nineemka nimechoka nikajiuliza hi ndoto mbona kama kweli ila hawakuni dhuru japo walikuja niliwaomahapana 😁, unapoingia eneo lolote lazima wakuu wa anga wa mahali pale wakukague. Hii ni ishu za kiroho na nni kawaida sana
Kumbe huko wazungu kibao, hao hua wanabadili jamii taratibuUamuzi mzuri sana,Mafia kuna utulivu mkubwa na viwanja mashamba bei bado zipo chini kwa sasa, ila wazungu wananunua maeneo miaka sio mingi bei zitakuwa juu sana.
utalii upo siku zote, ila kuna high season na low season. Low season watalii wanakuwa wachache sana, almost watalii wengi huja Mafia kukamilisha ratiba yao ya kutalii baada ya kutoka mbuga za wanyama huko bara na ZanzibarLakini hapo kwenye utalii sija kuuelewa una maana watalii hamna mpaka msimi wao au ni kama zenji wanakuwepo ila kwa uchache
watumishi wa serikali wanapangwa huku wengi sana, kifupi ile mmsimamo mkali wa dini unaendelea kupotea na kuwa kama dar tuKumbe huko wazungu kibao, hao hua wanabadili jamii taratibu
Hizo beach Huwa Zina watalii walau wastani wa watalii ishirini kwa siku au hapanaAlexido jz instagram Karibu kisiwa cha Mafia.
Mafia ni mojawapo ya halmashauri za kimkakati, ndio kunachangamka. Wengi wanavyoisikia Mafia na uhalisia ulivyo ni tofauti.
1. Beach plots nyingi zishabebwa na mabeberu, hata kama zipo zina bei iliyofura. Kuna madalali wamefanya bei ziwe juu, ijapokuwa wenyeji hawajajua thamani ya ardhi yao. Mashamba yapo, lkn ni kuwa makini usijeingia mgogoro na wawekezaji wa kiarabu walionunua toka enzi za Nyerere.
2. Biashara ya utalii ni seasonal kama zilivyo sehemu nyingine, usiwe na matarajio makubwa coz utalii wa huku ni wa chini ya bahari...diving, Snokering n.k. Kuna viboko walivuka kutoka rufiji nadhani kipindi cha elnino, kisiwa chenye popo n.k
3. Mafia kuna Uislam uliosimama, kuhusu lounge zenye hadhi kama kitambaa cheupe na nyinginezo huku hamna. Ni bar ziliochangamka kama cossovo, pia kuna sheria ya ikifika majira ya saa sita usiku bar zote hufungwa lkn hii hutegemea na maamuzi ya mkuu wa wilaya aliyepo.
4. Shughuli kuu ni uchumi wa bluu, dagaa, mwani, samaki, utalii wa baharini, biashara za kuingiza bidhaa na kutoa bidhaa. Angalia value chain ya hizo sekta tafuta moja jikite hapo.
5. Kuna watotoz wa kishiraz ni mix fulan ya kibantu..kiarabu na wairan. Wapo waburush hii ni mix ya kiarabu na bantu. Wapo wamakonde wa kutosha na wadengereko, wazaramo na wageni wengi kutoka mikoa mbalimbali. Nature ya mabinti wa kiislamu siyo wazururaji na bar hawaendi, unaweza ukafika ukadhani hamna totoz. Vizia kipindi cha matukio ya kidini na harusi utashangaa. Mke wa mtu ni sumu, kipindi cha nyuma mtindo wa kutengenezewa ndoa za mkeka ulikuwepo sana, siku hizi mchanganyiko wa watu umeua hiyo tabia.
6. Network ya kimawasiliano ipo, makampuni yote ya simu yapo ingawa huko vijijini ndani bado shida kidogo. Kwa mjini hapa TTCL fibre ipo na wauza Wi-Fi wapo. Usafiri ndio shida, tuna kivuko kimoja cha capacity ya abiria 200 na mizigo yake, bandari zetu bado zina mchanga hivyo ratiba ya safari huamuliwa na kupwa na kujaa kwa maji. Usafiri wa ndege upo muda wote mwisho jioni coz bado airport haina taa, nauli 165,000 hadi 185,000 inategemea na ndege na bei ya mafuta kwa muda huo. Kuna meli nyingine inaundwa, nadhani hadi mwakani inaweza kuanza safari hivyo kupunguza kadhia ya sasa hivi
7. Chuki kwa wageni haipo wazi, ila ndani kwa ndani na sometimes kuna ile hali ya udini.
8. Umeme bado unatumika unaofuliwa na genereta za tanesco, ila tathimini ishafanyika ya kuunganishwa na gridi ya taifa. Ukipita kwenye page za tanesco utaona.
Nimekujibu kwa uchache, kama unaweza karibu spend hata mwezi ukikusanya data za unachotaka. Mafia ukisimuliwa utaiona mbaya coz ya changamoto ya usafiri, lkn kuna Beach natural ukifika unasema hakika Mungu kaumba.
Maduka makubwa ya phone accessories, hardware, maduka ya bidhaa za jumla Kam sukari, unga nk yapo au hamna mana hizo ndio Fursat za kuwaia hukowatumishi wa serikali wanapangwa huku wengi sana, kifupi ile mmsimamo mkali wa dini unaendelea kupotea na kuwa kama dar tu
Lilikuwa jini. Kuna majini mengi sana Mafia.Mafia nimefika hapo 2014 tukitoka Nyamisat saa tisa usiku, tukiwa kwenye boti kuna toto ilinielewa maana baada ya kuona usingizi umepaaaa nikawasha laptop yangu na kuanza kuangalia muvi mtoto akajisogeza ameniegamia mpaka tunafika tuliposhuka sikumuona tena, hapo nilizunguka hapo mjini na simu hakuwa nayo, ni kamji kadogo sana, shughuli yao kubwa ni uvuvi, nilipata kwenda mpaka Airport uwanja ni mdogo na zinashuka ndege ndogo
Hii kiongozi ni tafiti unafanya, siko kwenye hii field nitashindwa kukupa data halisi. Kama una nia ya tourism business njoo field mkuuHizo beach Huwa Zina watalii walau wastani wa watalii ishirini kwa siku au hapana
Bro mrangi nikipata stori Yako nasikia hadi wazee walikudaka na pingu juu almanusura uishie jelaAh ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa huko
Kwa shuguli za uvuvi
Nlipuyanga mafia hadi kilwa
Ila watu nliona michosho tu
Ova