Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila isiwe beach plot lakin pawe karibu sana isizidi kilomita Moja kutoka mwanzo mwa bahari.
2. Uwepo wa watalii, kwa akili ya biashara zangu tazo anzisha.
3. Uwepo wa lounge sio bar mana napenda kujirusha.
4. Shughuli ambazo zinaweza kuniingizia kipato au mradi nao weza anzisha ukaniingizia pesa
5. Uwepo w totoz, sura si muhimu sana ila naUngumzia upatikanaji wake, au Sheria ni Kali za kiimani.
6. Uwepo wa mtandao, active network na usafiri wa uhakika, kuingia na kutoka kisiwani.
7. Chuki kwa wageni.
8. Umeme
Mengine yanavumilika