- Sep 9, 2024
- 5
- 30
Ni majukwaa gani Mkuu, unayojaribu kupost ambayo unaambiwa huna privileges za kupost?Sorry, natoka nje ya mada, ila Kwa mfano ukitaka kupost thread kwenye majukwaa unaambiea kwamba huna privileges za kutupia post huko. Swali NI kwamba, unapataje hizoo privileges ili uweze kupost?