Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

Ah ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa huko
Kwa shuguli za uvuvi
Nlipuyanga mafia hadi kilwa
Ila watu nliona michosho tu

Ova
Mkuu yaani ilikua shida sana
Mafia kipindi hiko hata kupata demu tu shida
Tena wakishajua unaitwa John,Ndulu Dickson ama Henry
Ndio usahau kabisa kupata manzi
Nilikaa miezi Mitatu bila kula mzigo
Mpaka nikaja kuunganishwa na mtu kutoka Mwanza
Ndio ile,mbona fulani yupo huko
Naomba nikutumie namba zake umcheck
Ndio angalau nikashusha mzigo
Ile napiga bao,manzi anadai eti kama kapondwa na embe huko ndani
Nauliza kwanini?
Mengi mnooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kilindoni jau wakuda wengi
Mimi muda mwingi nlikuwa camp jibondo!
Ila kwa yaliyonikutaga huko ahh kukanikata stim kabisa

Ova
 
Safi mkuu kuhusu makaxi ya kudumu bei za viwanja walau isiwe beach plot iwe kama km Moja kutoka baharini viwanja vya kawaida tu kidogo shingapi mkuu?
viko viwanja hupimwa na kuuzwa na halmashauri, hivi bei hutofautiana kulingana na eneo. Na viko watu wanauza, ukimshika mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji unapata eneo kiroho safi bila kutumia dalali. Njoo ingia field usiogope
 
Umaskini uliopo huko unaweza kuushika kwa mikono miwili
True, licha ya geographia ya kisiwa na nature ya wakazi kuwa wavivu. Hawa jamaa wanalogana sana, uchawi wao ni ule wa kuharibu na hakuna wa kukuagua hadi uvuke. Ila kwa wageni ukija lazima wakukague energy yako ikoje, nafanya kazi vijijini hivyo napenda kuwachunguza wazee hayo mambo
 
viko viwanja hupimwa na kuuzwa na halmashauri, hivi bei hutofautiana kulingana na eneo. Na viko watu wanauza, ukimshika mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji unapata eneo kiroho safi bila kutumia dalali. Njoo ingia field usiogope
Lakini hapo kwenye utalii sija kuuelewa una maana watalii hamna mpaka msimi wao au ni kama zenji wanakuwepo ila kwa uchache
 
Duuh kumbe unarogwa kwanza ili wakupome kama utastahimili au kama nawe ni kiboko
 
hapana 😁, unapoingia eneo lolote lazima wakuu wa anga wa mahali pale wakukague. Hii ni ishu za kiroho na nni kawaida sana
Ahaa ndio mana nilipo hamia Arusha mianzini, kwenye nyumba Fulani USIKU niliota wamekuja watu hivi Mzee kavaaa shuka la masai na wengine, walinizingua asubuhi nineemka nimechoka nikajiuliza hi ndoto mbona kama kweli ila hawakuni dhuru japo walikuja niliwaoma
 
Uamuzi mzuri sana,Mafia kuna utulivu mkubwa na viwanja mashamba bei bado zipo chini kwa sasa, ila wazungu wananunua maeneo miaka sio mingi bei zitakuwa juu sana.
Kumbe huko wazungu kibao, hao hua wanabadili jamii taratibu
 
Lakini hapo kwenye utalii sija kuuelewa una maana watalii hamna mpaka msimi wao au ni kama zenji wanakuwepo ila kwa uchache
utalii upo siku zote, ila kuna high season na low season. Low season watalii wanakuwa wachache sana, almost watalii wengi huja Mafia kukamilisha ratiba yao ya kutalii baada ya kutoka mbuga za wanyama huko bara na Zanzibar
 
Hizo beach Huwa Zina watalii walau wastani wa watalii ishirini kwa siku au hapana
 
watumishi wa serikali wanapangwa huku wengi sana, kifupi ile mmsimamo mkali wa dini unaendelea kupotea na kuwa kama dar tu
Maduka makubwa ya phone accessories, hardware, maduka ya bidhaa za jumla Kam sukari, unga nk yapo au hamna mana hizo ndio Fursat za kuwaia huko
 
Lilikuwa jini. Kuna majini mengi sana Mafia.
 
Ah ok,maana hata mm miaka fulani nlikaa huko
Kwa shuguli za uvuvi
Nlipuyanga mafia hadi kilwa
Ila watu nliona michosho tu

Ova
Bro mrangi nikipata stori Yako nasikia hadi wazee walikudaka na pingu juu almanusura uishie jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…