Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

Sorry, natoka nje ya mada, ila Kwa mfano ukitaka kupost thread kwenye majukwaa unaambiea kwamba huna privileges za kutupia post huko. Swali NI kwamba, unapataje hizoo privileges ili uweze kupost?
 
Official Instagram page ya Halmashauri ya Mafia.

 
Ndio kaka nisha wahi kusoma storia Yako humu kipindi hicho
Ahh nlikaa ndani huko mbona 😄 sema kesi nlichezesha nkajatoka
Si ile operation wkt magu wazir wa uvuvi,uwekezaji wangu na nlipoteza boti zangu 2 na machine
Wakojani nlikutokea tu kuwaona nuksi!
Ila mafia naijuwa in/out
Jibondo kisiwani mpk leo nna makazi
Kisiwani pale nmepashit tu
Kisiwa kina wambeya kile 😄
Balaaa

Ova
 

Kama una hela kweli, sehemu za kuatanua hizo hapo
 
Kaka najichanga nipate kiwanja kule lakini isiwe visiwani nataka mafia hapo hapo si jibondo kaka
 
wakojani ndio makontawa wa bahaarini 😁
 
Kaka Pako poa ila mi hua napenda changanyikeni lounge bas bar iwe safi sio fujo na utaratibu usio eleweka mkuu
 
Nmewakimbiza sana
Sema nlipoingia mafia nliingia na gia kubwa mpk wakojani wakasema hyu mwamba katokea wapi
Ila jibondo nlipapenda ukijichimbia huko hkn gozgoz

Ova
Sehemu kama hizo unatakiwa uwe na pesa Yani unaishi zako poa tu, nyumba Yako Kali fence safi beach plot swafiii
 
Kaka najichanga nipate kiwanja kule lakini isiwe visiwani nataka mafia hapo hapo si jibondo kaka
Sasa jibondo ni visiwa nje ya halmashsuri kilindoni
Kuna kisiwa cha chole na juani ila jibondo ndy kilikuwa na watu wanaishi hko inabd uwevngoma ngumu mzee
Mm mziki wangu walikuwa wanauelewa
Kuna pembezoni mwa usewe pia,kuna hoteli ilikuwepogi inaitwa kinasi ilikuwa inamolikiwa na Nicola
So langu huko wakina kimbau walinisaidia sana
Ila mwishoni wakojani wakax tu kwa mgeni alafu wakina ss uptake kufanya jambo hko wana mind fulani
Ndomana mpaka leo nmetokea kupachukia huko

Ova
 
Sehemu kama hizo unatakiwa uwe na pesa Yani unaishi zako poa tu, nyumba Yako Kali fence safi beach plot swafiii
Unaweza hata kwenda mkuranga ukaingia ndani ndani hko pwani magawa ukajipatia eneo beach

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…