Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

Sorry, natoka nje ya mada, ila Kwa mfano ukitaka kupost thread kwenye majukwaa unaambiea kwamba huna privileges za kutupia post huko. Swali NI kwamba, unapataje hizoo privileges ili uweze kupost?
Ni majukwaa gani Mkuu, unayojaribu kupost ambayo unaambiwa huna privileges za kupost?
 
Asee kaka pole sana, mi moja ya lengo langu nikufungua walau chuo huko mambo ya hotel management, driving, tour guide , nk miaka ya badae sana, ndio mana nilitaka kujua hapo halmashauri ya kilindon kama wazungu wapo walau kias niwapige vihela wakaz
 
Kuna jamaa angu anauza Kiwanja Beach Plot Mafia kwa bei ya Mil 50.

Kama upo tayari ni DM niwaunganishe.

Yeye kuishi mafia hataki tena, kahamia Dodoma.

#YNWA
#YANGA
Huyu mbona kama namjua 😅😅 aliajiriwa akaacha kazi?
 
Jipange Sana kwa maisha ya Mafia, umwinyi mwingi, ushirikina kawaida, kama ni mtu wa mademu Sana mabint wa watu ukimla kwa kudanganya jiandae, mzee wangu wew ni mtu wa bata kule wake za watu waone kama kuchambia vifupa,, misimamo ya kidini inazingatiwa, kila la kheri mkuuu ni sehemu Safi na tulivu karibu Sana!
 
Unataka kiwanja
1. Location gani?
2. Bajeti yako ni kiasi gani?

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Milioni nne mkuu, kidogo tu pasiwe mbali na fukwe yenye watalii wengi nadhani wanasemaga kinasi huko mkuu walau hata kilomita Moja kutoka baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…