Kitu hujui, uliza si kupotosha! Hakuna kitu kama hicho, DNA inaaminika acha kumpotosha mwenzako. Nilishapima watatu mmoja hakuwa wanguDNA si rahisi kupima... Na mara nyingi utasukumiziwa ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu hujui, uliza si kupotosha! Hakuna kitu kama hicho, DNA inaaminika acha kumpotosha mwenzako. Nilishapima watatu mmoja hakuwa wanguDNA si rahisi kupima... Na mara nyingi utasukumiziwa ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani
Sorry mkuu,Kitu hujui, uliza si kupotosha! Hakuna kitu kama hicho, DNA inaaminika acha kumpotosha mwenzako. Nilishapima watatu mmoja hakuwa wangu
Sawa legend!Mtoto si wako bali ulijipachika tu ubaba bandia. Mpotezee na acha mazoea nae abadan
Jibu murua sana, inaonekana una experience kubwa sana! ni sahihi kuwa ni Mjaluo, na unayoyasema ni hakika 100% nitafanya hivyo, kwa sababu kwa tz yetu janja janja nyingiKwani alivopotea nduvu uliendelea kutoa matumizi? Si alienda na maisha yake?
Kwa mtazamo wangu, nahisi ulimtafuta kwa ajili ya shauku ya mtoto maana inawezekana hujapata mtoto. Kukosea kupo.
Lakini angekua wako hata alipokuja mwanza we ndo ungekua wa kwanza kutafutwa.
Huyo binti nadhani ni mjaluo . (Wajaluo mtanisamehe, sio wote mko hivi), nmefanya kazi ujaluoni, wana necha moja, manzi anaeza kuolewa hata mara mia, na kila atakapoenda haachi mtoto. Kule kwao ukioa mwanamke unaoa na watoto wake wooote alionao. So hapo haez kukupa mtoto, na ukimuoa just know anaeza kuzaa tena na mtu mwingine na ukabeba mzigo.
Cha kufanya, tafuta mawasiliano na hospitali za kenya, then jua sample wanayohitaji kuhusu d.n.a, then itafute uende ukapime. Kwa huko unaeza kua na uhakika na majibu
Sawa sawa!!Hapo mkuu kimbia nduki,wew tayar unamchumba na mmetambulishana,ebu fikiria ameshaolewa hadi kenya wametemana eti leo ujitwishe hilo zigo wew tena,bwana wew acha kabisa,kwanza huyo siyo mtoto wako,
Asante sana! nitafanya hiviKacheki DNA Kenya na unaweza kuchagua majibu yatumike kisheria -. Pia wana agent wao Dar es Salaam.
Achana na kifanya DNA Tanzania hawatakupa majibu ya kweli.
Kila la kheri.
Mtoto wako anaye sema.siyo aliyemletaAssalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha.
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa
mmh inawezekana hii??Mtoto wako anaye sema.siyo aliyemleta