pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Katika maisha epuka kujuta na wala usipambanie mwanamke wala usitake kumhurumia waache wasaidiane wenyewe kujipa mzigo ambao hujapewa umefeli, makuzi yako yasiamue maisha yako kama uliishi kwa tabu huko zamani fanya ibaki history tu kwa walio fahamuhapana mwanaume, makosa yapo na duniani kuna kujisahihisha, hii pengine imesababishwa na makuzi yangu, so ilivyotokea nilihisi dogo anaweza kuja kuishi maisha kama yangu mimi!!