Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

Kwani alivopotea nduvu uliendelea kutoa matumizi? Si alienda na maisha yake?

Kwa mtazamo wangu, nahisi ulimtafuta kwa ajili ya shauku ya mtoto maana inawezekana hujapata mtoto. Kukosea kupo.

Lakini angekua wako hata alipokuja mwanza we ndo ungekua wa kwanza kutafutwa.

Huyo binti nadhani ni mjaluo . (Wajaluo mtanisamehe, sio wote mko hivi), nmefanya kazi ujaluoni, wana necha moja, manzi anaeza kuolewa hata mara mia, na kila atakapoenda haachi mtoto. Kule kwao ukioa mwanamke unaoa na watoto wake wooote alionao.

So hapo haez kukupa mtoto, na ukimuoa just know anaeza kuzaa tena na mtu mwingine na ukabeba mzigo.
Cha kufanya, tafuta mawasiliano na hospitali za kenya, then jua sample wanayohitaji kuhusu d.n.a, then itafute uende ukapime. Kwa huko unaeza kua na uhakika na majibu
 
Kitu hujui, uliza si kupotosha! Hakuna kitu kama hicho, DNA inaaminika acha kumpotosha mwenzako. Nilishapima watatu mmoja hakuwa wangu
Sorry mkuu,
Naomba kujua ulipima DNA hospital gani na gharama zilikuwaje
Pia nasikia mpaka kibali cha mahakama nieleweshe kidogo kaka
 
Jibu murua sana, inaonekana una experience kubwa sana! ni sahihi kuwa ni Mjaluo, na unayoyasema ni hakika 100% nitafanya hivyo, kwa sababu kwa tz yetu janja janja nyingi
 
Hapo mkuu kimbia nduki,wew tayar unamchumba na mmetambulishana,ebu fikiria ameshaolewa hadi kenya wametemana eti leo ujitwishe hilo zigo wew tena,bwana wew acha kabisa,kwanza huyo siyo mtoto wako,
Sawa sawa!!
 
Kosa kubwa ulilifanya mwanzo kuruhusu kula chakula Cha mwanamke anayekuwinda ili uingie kwen kuminane zake akupege pesa mpaka sasa nauhakika sio akili yako hiyo tembea mkuu ujue Nini kilifanyika kwenye vyakula ulivokuwa anakuletea jiongeze mkuu
 
Mpeleke mtoto maabara jifanye unaenda kucheki afya ya mtoto na huyo mama wa mtoto....mkifika muombe mhudumu afanye( blood grouping) ya kwako mama na mtoto...group la damu lazima lifanane na la baba vinginevyo umepigwa....huo ni mwanzo tu
 
Pole sana, wasi wasi ndiyo akili, na kutokutafuta majibu ni ujinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…