Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

Sio kweli
 
Shida ya sisi wanaume wa siku hizi tumejawa na huruma sana kuliko wanawake wenyewe.
Mwanamke anayekupenda anakusikiliza na kukuheshimu.
Mtu anaenda kwao, hakutafuti anaenda Kenya anaolewa na anakuja mtaani hapo hakutafuti. Wewe ndiyo unangaika kumtafuta. Huyo mtoto siyo wako 100%.
''Acha kuwa na huruma na wanawake, fanya mambo yako''
Gharama ya DNA ni sh. ngapi, hakuna taratibu za kufuata?
 
Wewe ni BWEGE tena BWEGE MPUMBAVU naomba niwie radhi kama nimekukwaza.
 
Mkuu ulikosea kujitambulisha kwa yule mama kwamba uli sexy na huyo binti hivyo hiyo mimba ni yako sababu pale mgahawani wateja ni wengi inawezekana kuna mwamba nae alikuwa anakula mzigo na jambo la mwisho ulichokiana kwa huyo mtoto ni kweli hujakosea chata ya mwamba mwenzio kubali matokeo.
 
Achana na hizo mambo ndugu....wewe bdo kijana mdogo,kama angekubali kumuacha ubaki nae ningesema lea mtoto mpe mapenzi ya baba kwa maana amjuae baba wa mtoto ni mama ...alienda alipo toka,akawa amekata mawasiliano na leo hii amerudi kwako lakini amekataa kumuacha toto kwako maana yake wewe ni plan B yake kila akikwama ndio atakutafuta..... jaribu kuuchuna bila kumpigia wala kujulia hali chochote uone kama atajali..... Tulia na ulie nae usilazimishe kumtengenezea stress .... mungu atakusaidia utapata watoto ndugu... Ni hayo tu kutoka kwangu.
 
Stuka achana ne
 
Ulishobokea mimba isiyo yako,unalazimisha mtoto awe wako,bint matendo yake 100% yanaonesha mtoto Sio wako,naye analijua Hilo anakuona bwg,acha nae endelea na Mishe zako,kosa ulilifany skuile ulipo mwambia boss wake kua inawezekn mimba ni yako ilhal hukutajwa[emoji23][emoji23] umenichekesha,amka Sasa acha hizo.
 
pole sana maana kama umeona anafanana na jamaa flani bhasi nae aliwekaa yani sema hakuropoka kama wewe mwanaume ukiambiwa na manzi ana mimba yako kataaa kwanza sio unakubali kiboya tuuu.. Pole ila kaza moyoo mwambie ukweli uwe huru
 
Wewe ni BWEGE tena BWEGE MPUMBAVU naomba niwie radhi kama nimekukwaza.
hapana mwanaume, makosa yapo na duniani kuna kujisahihisha, hii pengine imesababishwa na makuzi yangu, so ilivyotokea nilihisi dogo anaweza kuja kuishi maisha kama yangu mimi!!
 
Mpeleke mtoto maabara jifanye unaenda kucheki afya ya mtoto na huyo mama wa mtoto....mkifika muombe mhudumu afanye( blood grouping) ya kwako mama na mtoto...group la damu lazima lifanane na la baba vinginevyo umepigwa....huo ni mwanzo tu
Mmmh hivi we jamaa umesoma vizuri kweli kuhusu ABO inheritance? Eti ni lazima group litoke kwa baba[emoji1787][emoji1787]
 
Jibu la kiume sana hili. Safi kabisa
 
Usichokijua kuhusu wanawake ni kuwa "wanawake hawapendi kuonewa huruma"
1. Mtu ameenda kijijini ana mimba, hajakutafuta
2. Amejifungua, sidhani km ulimpa mtoto jina. Hajakutafuta
3. Ameolewa Kenya. Hajakutafuta
4. Amerudi mtaa uliopo. Hajakutafuta
5. Wewe ndiyo umelazimisha, narudia tena umelazimisha, narudia tena umelazimisha kumuona mtoto na alikubali kwa shingo upande.
Huyo mwanamke hana mapenzi na 100%. Wewe ndiyo unajipendekeza
hapana mwanaume, makosa yapo na duniani kuna kujisahihisha, hii pengine imesababishwa na makuzi yangu, so ilivyotokea nilihisi dogo anaweza kuja kuishi maisha kama yangu mimi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…