Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

hapana mwanaume, makosa yapo na duniani kuna kujisahihisha, hii pengine imesababishwa na makuzi yangu, so ilivyotokea nilihisi dogo anaweza kuja kuishi maisha kama yangu mimi!!
Katika maisha epuka kujuta na wala usipambanie mwanamke wala usitake kumhurumia waache wasaidiane wenyewe kujipa mzigo ambao hujapewa umefeli, makuzi yako yasiamue maisha yako kama uliishi kwa tabu huko zamani fanya ibaki history tu kwa walio fahamu
 
kamaliza mjadala, haina haja ya DNA, Mtoto angekuwa wako kweli
1.Asingeacha kukutafuta hata simu iibiwe, namba yako ingekuwa kichwani kwake.
2. Asingeenda kuolewa kwengine wakati wewe hukumkataa

Na amerudi ameona aibu kukutafuta kwasababu anajua amezingua, sema marafiki zake watakuwa wamemshauri aache upuuzi atulie na wewe, ila atakuumiza akili kwasababu hajakupenda, hana nia ya kukupenda.
 
Naked truth
 
Kanishangaza sana [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…