Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari, situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe 5/10/2023 nilibrid siku 5 ,tumekutana tarehe 13/10/2023 na tarehe 14/10/2023 nasikilizia kama ntakuwa na mimba.kama sitapata basi uyu mwanaume wangu hana uwezo wa kunipa mimba jamani.
Nendeni hospitali mkajiridhishe kwa vipimo, mambo madogo hayo.
 
Inaonyesha unaomba msaada kiutu uzima
 
Ko kutolewa tu mahari ndo ukaamua uanze kutafuta mimba?huwa mna haraka ya kuwahi wapi?
Na kwa nini ukimbilie kusema hazai,je kuwa na mtoto ndo kusema huwezi tena kupata changamoto ya kupata mimba ingine?
Ngoja nisiongee usije sema labda kwa kuwa mi ni mwanamke hatupendani,mi napenda mtu anayetumia akili.
Naona unapambana kuwa single maza mwenye watoto wawili

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ukikua utaacha unaye mtoto lakini akili bado haijakomaa,hujui pia kuna Mungu pia huenda unaye tatizo au mwenzako anaye. Nendeni hospitali mkapate ufumbuzi acha kujiona umekamilika na kumtupia mizigo mwenzako.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Ko kutolewa tu mahari ndo ukaamua uanze kutafuta mimba?huwa mna haraka ya kuwahi wapi?
Na kwa nini ukimbilie kusema hazai,je kuwa na mtoto ndo kusema huwezi tena kupata changamoto ya kupata mimba ingine?
Ngoja nisiongee usije sema labda kwa kuwa mi ni mwanamke hatupendani,mi napenda mtu anayetumia akili.
Naona unapambana kuwa single maza mwenye watoto wawili

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Kajiaminisha sababu ana mtoto mmoja kwamba hawezi kupata changamoto ya kupata mtoto mwingine, ndo maana Lowasa alitaka viapaumbele vinne;
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4. Elimu
 
Sasa hilo nalo ni tatizo? Njoo nikugegeda tu hapa umsingizie na yeye aone ana uwezo
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari, situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe 5/10/2023 nilibrid siku 5 ,tumekutana tarehe 13/10/2023 na tarehe 14/10/2023 nasikilizia kama ntakuwa na mimba.kama sitapata basi uyu mwanaume wangu hana uwezo wa kunipa mimba jamani.
 
Nendeni hospitali mkajiridhishe kwa vipimo, mambo madogo hayo.
Huyu ni mpishi mkubwa wa chai humu jukwaani.
Tazama thread hii ya siku ya ijumaa.

Nyingine hii hapa ya jana
 
Back
Top Bottom