Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
Fursa! Anajua mwamba ana maokoto ya kutosha kwahiyo anaogopa jamaa asije akapeperuka hivyo anataka kumdhibiti mapemaKo kutolewa tu mahari ndo ukaamua uanze kutafuta mimba?huwa mna haraka ya kuwahi wapi?
Na kwa nini ukimbilie kusema hazai,je kuwa na mtoto ndo kusema huwezi tena kupata changamoto ya kupata mimba ingine...