Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

Nendeni hospitali mkajiridhishe kwa vipimo, mambo madogo hayo.
 
Inaonyesha unaomba msaada kiutu uzima
 
Ko kutolewa tu mahari ndo ukaamua uanze kutafuta mimba?huwa mna haraka ya kuwahi wapi?
Na kwa nini ukimbilie kusema hazai,je kuwa na mtoto ndo kusema huwezi tena kupata changamoto ya kupata mimba ingine?
Ngoja nisiongee usije sema labda kwa kuwa mi ni mwanamke hatupendani,mi napenda mtu anayetumia akili.
Naona unapambana kuwa single maza mwenye watoto wawili

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ukikua utaacha unaye mtoto lakini akili bado haijakomaa,hujui pia kuna Mungu pia huenda unaye tatizo au mwenzako anaye. Nendeni hospitali mkapate ufumbuzi acha kujiona umekamilika na kumtupia mizigo mwenzako.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kajiaminisha sababu ana mtoto mmoja kwamba hawezi kupata changamoto ya kupata mtoto mwingine, ndo maana Lowasa alitaka viapaumbele vinne;
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4. Elimu
 
Sasa hilo nalo ni tatizo? Njoo nikugegeda tu hapa umsingizie na yeye aone ana uwezo
 
Nendeni hospitali mkajiridhishe kwa vipimo, mambo madogo hayo.
Huyu ni mpishi mkubwa wa chai humu jukwaani.
Tazama thread hii ya siku ya ijumaa.


Nyingine hii hapa ya jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…