Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

Huenda una mayai lakn visa usianze lawama kwa mwenzako
 
Kumbe wewe ni dume halafu unataka upate mimba hii dunia ina mambo mengi kuliko mda
.
 
Wazazi wako wana hasara kama mtoto wa kiume unatamani mimba? Kwahiyo tarehe 14 uliwekewa ukuni?.
 
Tayari keshamtia doa huyu aliyenae, lazima anaenda kutiwa mimba na aliyemzalisha mwanzo. Yeyote mwenye single mom hongereni kwa ujasiri.
Ubaya wa single Maza..nikulinganisha aliyenaye na aliyemzalisha..tatizo huanzia hapa
 
Pls nenda kwa gyno kuna ushauri atakupa.

Ni muda gani tangu umepata mtoto?
 
Huenda una mayai lakn visa usianze lawama kwa mwenzako
cha ajabu ni kwamba yeye ni single maza ameokotwa, lakini bado analeta nyodo. wengi tumeshakuwa na wanawake wengi, wengine wameshazaa kabla ila wanapambana kutafuta watoto wengine, mimba haziingii kumbe ni haya mambo ya wazungu ya vidonge vya kuzuia mimba na masindano, kuna wakati huwa yanareact negatively kwenye mwili na mwili unajiweka kuwa hautakiwi kupata mimba,hadi miaka kadhaa kupiga ndio unakaa sawa. ajiulize, yeye kama single maza, ni uongo kuwa alikuwa anatumia vidonge au masindano ili azuie mimba kwasababu alikuwa hajatulia/malaya? au sio. akijitathimini, atulize tu mshono.
 
Nisiongee sana maana nina safari ndefu bado.
 
Kwanza humu ushalalamika hana hela, now unamtafutia sababu hana uwezo wa kukupa mimba, kesho utasema anafanya kazi kama MKASI, 🤐🤐

Humtaki muache tu, usije mtoa roho ndugu yetu, wanaume wenyewe tuko wachache, usitupunguzie ukoo wetu.
🤣
 
Bila shaka hii Gender umeiweka tu kutufurahisha humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado uko kijijini??

Ila ww bhana thread zako huwa sizielewagi.
 
Unapenda Ngono na kuzaa zaa hovyo ka Mbwa eeh? Tulio mwenzio hataki kuchanganya watoto wewe kakulipia mahari kukununua kama Sexy toy tu.
 
Endelea tu kutangaza mitandaoni na weka picha pia labda ataona atajitahidi.
Huyo nae anaonekana kisha dumbukia kwenye shimo kuwa na mke kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…