Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba


Acha kuiwazia ya mimba.. zitaingia kiurahisi..

Kuna kitu kati ya mawazo ya mimba na kupata mimba huwa haziji.. sijui ila msemo huu upo.. tuliza akili Yako na mwili utulie..
 
Tusomeshe watoto wetu jamani,dada ungekua na Elimu sidhani kama ungeandika haya.

Hujasoma kwamba unaweza ukawa huna tatizo na mume hana tatizo na Mimba usipate kwa wakati?

Mimba sio umeme kwamba uwashe tu switch Taa iwake, Mimba ina sababu zaidi ya milioni mpka mtu anaishika.

Sio kisa ulipata mimba ya kwanza ukafanikiwa mtoto ukahisi ni rahisi kiasi hicho. Mshukuru Sana Mungu Mimba sio rahisi hivyo.

Biology ya Miili yetu wanadamu hata wana sayansi wenyewe inawatoa jasho.

Tulia Kuwa na heshima kwa mwanaume wako,kama unaharaka sana na ujauzito uje tutest na kwangu,isipopatikana nenda kwa mwingine hadi uipate.
 
Brid=Bleed, kwa hayo maneno singo mama, umeshindwa kutofautisha, basi tatizo liko kwako... 🥹🥹🥹
 
Usihukumu usije ukahukumiwa, nendeni mkapime inawezekana wewe ukawa mwenye tatizo....Mtakapopima mkakutwa mko fiti na mimba hupati, tafuteni msaada wa kiroho.
 
Kwani wewe si unamtoto tayari au vipi
 
Kwa nini shida isiwe ni wewe na Mayai yako, ukitaka kupima next episode chepuka mwingine tarehe hizo kisha ikijaa fanya makeke uitoe au umsakizie
 
Tatizo la wanawake wakipigwa pumbu tu wao wanaanza kuwaza kuzaa ila hii jinsia hatariiiii
 
Huwezi kumdhibiti mwanaume kwa kutumia mtoto,kama hana malengo na wewe utazalishwa na utaachwa tu

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hiyo ndiyo njia kubwa wanayotumia wanawake wengi wavivu wa kisasa kuishi ' child support ' hapa mtu sio rahisi kuchomoka

Kuachwa hata akiolewa ataachwa tu lakini mtoto haachiki
 
Ni yule dereva??

Halafu,au basi[emoji3061]
 
Kwann msipime tu? 👌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…