Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Ilikuwa hivo wakt wa JPM, mawaziri walisikika kila kona ila kwa sasa naona kasi imepungua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJOZI NJEMA MWANA WANE,MAMA ANAFUFUA UPYA UCHUMI WA TAIFA LETU MAARIBIFU YALIKUWA NI MAKUBWA MNO TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUKUKUMBUKE KILA MAMLAKA PIA NI KIKUNDI,HATA YULE BWANA PIA YALIKUWA NA KIKUNDI CHAKE CHA "WANA"AU ORCHESTRA TETEMESHA
 
Uzuri ni kwamba huyo unayemtaria mabaya pengine anakula zake kiyoyozi kwenye gari yake wewe hapo Unapambana na bomba kwenye dala dala, yaani roho ya kimasikini ni shiidaa..
Kamanda bhana...hamueleweki
 
Kamanda bhana...hamueleweki
Ndiyo najaribu kukuelimisha kuwa huyo unayemdhihaki kwa kukupambania yuko vizuri na maisha yake wakati wewe ni apeche alolo na maisha ya kuunga unga...
 
Unaweza kufanyiwa maombi mabaya apanguswe na kale kaugonjwa... Hivi msaidizi wa mkuu yupo wapi?
Alipigwa pin na system baada ya kuonekana sana front bila maelekezo ya mkuu siku za awali za utawala mpya
 
Kwa Magufuli mlikuwa mnasema ajipangia kwa ubabe!

Ila kwa huyu mnasema anapangiwa na anaonewa!

Ndio maana Lema juzi aliawaita wapumbavu
Kuna vingi hujui na inahitajika muda mwingi kukuelewesha
 
Magu nilikuwa simkubali ila bora angemalizia usheenz wake hafu ndo afe sio kutuachia nchi katika mvurugano na huyu mama.
Tartiiiiiibuuu wakulungwaaa wanaanza kurudi kwenye musitarii wa kumkumbuka jpm....na bado mtaendelea kumkumbukaa nasemaaaa...hapa ndo mwanzo tuu..picha kamilii linaletwaa na kina madiluuuuu
 
Na badooo..ww c ulikuwa unamnanga jpm..naamn kwenye libichwaaa lako unammsii sanaa jpm..subirr kidogoo utapataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…