Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Cha kustaajabisha wanawake ndiyo wanaongoza kwa kumchukia mama mwenzao. Kweli wanawake hampendani

Usilete fitina !

Huwezi ku-concludes jambo kupitia mchango wa mtu mmoja au wachache!

So far kila mtu anayo haki ya Uhuru wa kutoa maoni yake bila kujali jinsia yake!
 
Kama amezidiwa nguvu na dhamiri yake ni safi basi aachie ngazi. Short of that, she has conceded and she is part of the whole shit. Wala haina haja ya kuendelea kumpamba kwa lugha laini. Kwa mwendo huu na yeye anakuwa mchafu tu
Kaka sio rahisi kama unavyodhani.. I think she's 'under siege' uwepo wake hapo juu ni faida kwa wengine wanaojipanga kwa ya baadae
 
Kaka sio rahisi kama unavyodhani.. I think she's 'under siege' uwepo wake hapo juu ni faida kwa wengine wanaojipanga kwa ya baadae
If this is it, she's an accomplice to the evil plan. There's no way she can be exonerated therefrom. I'll be a last fool to believe that she's 'under siege'.
 
If this is it, she's an accomplice to the evil plan. There's no way she can be exonerated therefrom. I'll be a last fool to believe that she's 'under siege'.
Hebu tuupe muda wakati... It can be anything! OR 'else'!
 
Truth %
 
Bila shaka kipindi hichi ramli nyingi zitapigwa juu raisi huyu inachekesha sana wakati wa Magu alikua hataki kabisa kusikia mtu anafungua mdomo wake juu ya katiba midomo yote ilipigwa zipu
Huyu mama kasikia kilio cha katiba na ameahidi kulipa nafasi muaafaka ktk shughuli zake bado analaumiwa ama kweli fadhila ya punda ni mateke
 
Ndio binadamu tulivyo au unasemaje papaayenga
 
Nawatafakari wajukuu zangu siku za usoni wataponiuliza maswali magumu na mimi kama UVCCM nilikuwa wapi miaka yote hiyo..

UVCCM wenzangu tujitathimini sana..
 
Lawama juu ya mama ni lawama za kipofu anaye jaribu kuvuka barara kwa miluzi mingi na kelele anazopingwa na watu
hebu iondoe akili katika mgandamizo uwe huru kufikiri
1. Toka alipokufa magufuli ni mradi upi
Umesimama kutekelezwa.
2. Toka kufa Maguuli kuna mabadiliko yepi
Katika nyaja za uzalishaji na ukusanyaji wa kodi uliodorora
3.Toka kufa Magufuli ni lipi lilo haribika?

Ukiyapata hayo ndio tuanze kumjadili mama tusiwe na chuki za kiujumlajumla kwa vile hajakutana na wapinzani kuzugumza basi kawa mbaya huo ni upuuzi.
 
Kama amezidiwa nguvu na dhamiri yake ni safi basi aachie ngazi. Short of that, she has conceded and she is part of the whole shit. Wala haina haja ya kuendelea kumpamba kwa lugha laini. Kwa mwendo huu na yeye anakuwa mchafu tu

Kazidiwa nguvu katika lipi? kwa kufanya Hiyo Royal Tour ? Kama nihilo kweli vichwa vimeoza kufikiri.
Bear in ur mind watu wa zanzibari huwa makini sana na kwa asili ni waelewa zaidi unavyofikiria halafu wanasubira zaidi unavyo fikiria wewe hawakurupuki na katu hawawezi kuendeshwa kama unavyofikiria
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…