Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Mtazamo wangu TUNAGOMBANISHWA[emoji2827][emoji2827][emoji2827]na wenye malengo mabaya
 
Hapa ndipo ninapoona hitaji la katiba mpya.. Leo nimeambiwa tozo kwenye mabenki zimeanza rasmi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
Safi kabisa!

Nashauri ziongezwe! Maana tunapumua baada ya kunyanyaswa kwa miaka 5.

Baada ya kutopandishwa mishahara na madaraja sasa tumeoandishiwa. Nashauri kodi iongezwe mara dufu
 
Tumerudi kwenye urais taasisi. Sio kipindi kile kila siku Rais anajibu hoja za watu hadi wa mtaani kama vile kina Mnyika, Jacob,Piere Liquid, Mzee Mpili pili, Gwajima n.k. Miradi inaendelea reli imeshatolewa fedha toka Mwanza -Dodoma, Umeme,ujenzi wa vituo vya afya,madarasa,Barabara mpya,treni,mikopo ya wanafunzi,madaraja ya watumishi,ajira mpya n.k na pesa zimeshaelekezwa kwenye shughuli husika.

CHADEMA mnalazimisha mjibiwe kila hoja na matakwa yenu ya kisiasa. Hiyo sio style ya Mama
 
ndani ya kakundi hako kadogo yuko pm mmoja wa zamani aliyejiita mtoto wa Mkulima , haonekani hadharani lakini gizani yumo
😁😁😁🀣🀣🀣 Na bado, mpaka maji muyaite MMA!
 
Timu ipi?

Alipoingia ikulu alitimua timu yote ya pale ikulu akaweka ya kwake!

Na mlishangilia kweli humu mkisema sukuma gang out.

Sasa hivi vilio vyenu havitawasaidia chochote
 
Hahaaa Gang haina mchezo na Leo amekuwa chifu😁😁😁😁
 
Na msaidizi wake ndio hamna kitu kabisa
 
Ukiandika haya mleta mada na bavicha wengine watakutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…