Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Tuamke kichwani na moyoni yapo na yanakuja tujipange kiakili na kimwili pia. Tanzania mpya is coming soon ❣️
 
Acheni huu UPUMBAVU jiwez alikaa madarakani Miaka 6 ukiacha kuua watu nakufilisi watu aliweza nini...jiwe na huyo mamaenu wote hawana la maana zaidi yakuumiza watu tu

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Uwezo huo hana tena, the gang imembadilishia namba za simu. Watu anaowasiliana nao wote wana control kutoka kwa gang.
 
Kama ikiwa hivyo kikundi kilichopo ni salama kwetu kuliko kile kilichotolewa kwa mujibu wa katiba baada ya kiongozi wa kikundi kusepa, kilikuwa ni kikundi cha wanyang'anyi, utesaji na ubabe ambao hawakuruhusu uhojiwe na yeyote.
 
Bila kulitolea uvivu kundi hili tungali na safari ndefu sana.

Yaonesha mama kafika bei:

"Kakubali kumtumikia kafiri ili apate mradi wake."

Yaonesha lile genge liko pale pale na ndilo lililoshika hatamu.

Yawezekana lile dokezo halikufua dafu.
Hilo genge gani?hawazeeki?hawafi?hawaishi?mbona mzee aliyetangulia hamkusema amepotezwa na genge ?😂😂
 
Hapa ndipo ninapoona hitaji la katiba mpya. Leo nimeambiwa tozo kwenye mabenki zimeanza rasmi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
Tozo kwenye benk zilianza muda ila hawakutaka kuweka wazi, kama una mtu benk muulize.

Kitu ambacho natamani kiondolewe kwenye katiba ni ile rais akifa, maaidizi wake achukue nchi aiseee hii ni kitu ya kipumbavu.

Ila aliecheza hii movie kuanzia kuondoka jpm aliicheza haswa, mwenyewe yupo amekaa anaset mitambo inaenda kama atakavyo dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…