CCM ya Sabaya walipanga kumuua, na mara mbili au tatu wameenda kumuua wakamkosa wakampiga mlinzi risasi. Mabaunsa wanalinda watu wanasitumia bunduki
 
Mimi nauliza swali moja tu.

Je bastola za akina Adamoo ni za halali?

Yaani umiliki wake unasomeka kama nani ndie anapaswa kuwa nayo kimatumizi?

Kosa la kukutwa na silaha ya moto kinyume na sheria inasemaje?

Tuanzie hapo kidogo....
 
Mtego utakuwa kwenye tarehe na mtirirko wa matukio wa wa shahidi vs wa polisi
 
Nyie mrukeruke ila kwa ushahidi wa upandewa mashtaka na weledi wa mawakili wa Mbowe- Mbowe ni mfungwa mtarajiwa
 
Unaposikia makomando unafikiria ni watu wa aina gani? Komando akiacha kazi kazi anayoweza kupata uraiani ni ya ulinzi tu.
 
Hawa makomandoo wa kubeba matofali siku ya uhuru wana tofauti gani na mgambo? hawana athari zozote
 
Mimi nauliza swali moja tu.

Je bastola za akina Adamoo ni za halali?

Yaani umiliki wake unasomeka kama nani ndie anapaswa kuwa nayo kimatumizi?

Kosa la kukutwa na silaha ya moto kinyume na sheria inasemaje?

Tuanzie hapo kidogo....
Thibitisha kwanza kama ile bastola ni ya Adamoo au alikutwa nayo. Leteni finger print. Baba acha kuwa mpumbavu. Fikili deeper between lines
 
"nilitumiwa na mbowe tsh 500000 kwenye kutoa haikutoka yote ikatoka 499,999" nimeutafuta sana huu mtandao ambao hauwasilishi kodi tra, gharama zake ni sh 1 tu! Hauna tozo wala vat
Kesi ya kutunga ni aibu kubwa sn, wameamua kutumia wachaga vichaa kumfunga Mbowe ionekane amefungwa na wachanga wenzake
 
Na kwa nini miaka yote Mbowe na wengine wakati wakifanya siasa, serikali haikuwahi kuwashambulia kwa risasi viongozi wa upinzani au kuwavunja miguu kama walivyomfanyia Lisu na Mbowe katika kipindi hiki ambacho baada ya matukio hayo Mbowe akaamua kutafuta ulinzi madhibuyi zaidi?

Au kwa nini miaka yote viongozi wa upinzani na wanaharakati wakosoaji wa setikali hawakuwahi kutekwa, kupotezwa na kuuawa kama ilivyokuwa ikitokea wakati wa awamu ya 5 ambapo Mbowe anaona umuhimu wa kutafuta walinzi professional?
 
Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Ninyi ambao hamna elimu yoyote ya mambo ya kivita ndiyo huwa mnalishwa huo upumb.avu.

Kwenye vita, wewe peleka makomandoo 4, mwezio apeleke wapiganaji wa kawaida 100, uone kitakachotokea. Mnalishwa ule upumb.avu wa waigiza sinema, nanyi mnaamini.

Hadhi ni tofauti na uwezo. Hadhi ya brigedia mmoja ni Askari 5,000. Wewe unaamini uwezo wa askari 5,000 wa kawaida wa kupigana ni sawa na brigedia mmoja?
 
Mimi nauliza swali moja tu.

Je bastola za akina Adamoo ni za halali?

Yaani umiliki wake unasomeka kama nani ndie anapaswa kuwa nayo kimatumizi?

Kosa la kukutwa na silaha ya moto kinyume na sheria inasemaje?

Tuanzie hapo kidogo....
Unaposema bastola za akina Adamoo unamaanisha walikutwa na bastola zaidi ya moja, unaonekana akili yako imeshikiliwa mahali si bule
 
Zile risasi walizopigwa akina Slaa Arusha kwenye maandamano! Na risasi walizopigwa akina Mbowe Kinondoni bahati mbaya zikamuua binti mpita njia! Ni ajabu yote hayo hauyajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…