Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa
Kimsingi mpaka sasa wale makomandoo watatu Khalfani Bwire,Adamoo na Mohamed Ling'wenya ni innocent guys, ni raia wema kwa ushahidi wa Lut Denis Urio ambaye ndiye shahidi muhimu kuliko wote.Amethibitisha kua aliwaita kama Raia wema, aliwaita kwenda kufanya kazi ya Ulinzi, na alisema aliwaomba wakiona kuna dalili za kihalifu wampe taarifa na mpaka wanakamatwa hawakuwahi kumpa taarifa za kihalifu. Hawa makomandoo walipigwa na kuonewa bure waachiwe huru hakuna namna.

Tukirudi upande wa Mhe Mbowe , Denis Urio anakiri kabisa kuwa hakuna ushahidi wowote wa picha, Video wala audio au vifaa vyovyote alivyoona vilikuwa vitumike kufanya ugaidi...isipokuwa kuna sms chache hapo Denis Urio yeye akiomba pesa kwa Mbowe ili awakutanishe wale vijana wanne na ile ya Muamala ambayo ni ya kawaida kabisa.Mbaya zaidi hakuna seme hata moja inayothibitisha Ugaidi popote. Amebaki na maneno ya Ooh alisema titanaenda kulipua vituo vya mafuta na kukata magogo, uthibitisho wa matendo hayo hakuna hata punje. Si angemrekodi Homeboy wake akiongelea hayo matukio ili kuwepo na ushahidi?

Yaani kwa Teknolojia ilivyokua hivi sasa karne ya 21 ofisi kubwa ya DCI inakosa device yeyote ya kumrekodi Mbowe akiongeleo Ugaidi? Basi angemrekodi hayo mazungumzo ya simu. Hii tamthiliya tamu sana 🤣🤣🤣🤣🤣

Haya sasa ugaidi wa Mbowe upo kwenye nini?
Kiongozi mwenye walivyosema anapangiwa njama kuuliwa inasemekana ni Sabaya ana hukumu ya Ujambazi yupo jela. Kamba ingekuwa kweli kwani kumdhuru jambazi ni kosa?
 
Tunavyozidi kuweka masikio yetu mahakamani, ni dhahiri kwamba Ndg. Kingai, Boaz, Mahita, Goodluck, Jumanne, Urio na wengine walishirikiana kufanya uhalifu mkubwa unaitia serikali ya Tanzania doa na hasara kubwa kutewngeneza kesi isiyo na kichwa wala miguu.

Shahidi Denis Urio ameonyesha wazi kwamba, hii kesi ni ya ovyo kabisa na inabidi iishe. Watanzania wanaumizwa sana kwani fedha ambazo zingetumika kuwaletea maendeleo, inatumika kutafuta ughaidi usiokuwepo. Hawa watu wakamatwe kwa matumizi mabaya ya madaraki !

Screenshot 2022-01-27 at 10.32.39.png

Screenshot 2022-01-27 at 10.35.17.png

Screenshot 2022-01-27 at 10.36.11.png
Screenshot 2022-01-27 at 10.36.33.png
Screenshot 2022-01-27 at 10.37.14.png
Screenshot 2022-01-27 at 10.38.26.png
 
MaCHADEMA jipangeni kisaikolojia mnaenda kulia kama kwa Aqwilina
Hivi watu kama nyie mna utu kweli?Hivi mnajua kwa kiburi kama chako polisi walimuua binti asiye na hatia Aqwilina uliemtaja?Hivi unajua familia yake ina majonzi mpaka leo na bado unazidisha kwa kumfanyia dhihaka?Ila amini ipo siku utajutia unayotenda.Mwisho wa ubaya aibu mwangalie Sabaya ujirekebishe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mahakama zetu zinatenda haki, mmeona kwa Sabaya? Chadema na wasio chadema wote tumeona haki imetendwa na mahakama.
Sasa hiyo hiyo mahakama itatenda haki kwa kesi ya ugaidi. Hakuna haja ya kuingilia wa kuipangia kwamba mbowe ni gaidi au siyo gaidi.
Kesi ya sabaya na mazingira yake na kesi ya Mbowe na mazingira yake vinafanana?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi mpaka sasa wale makomandoo watatu Khalfani Bwire,Adamoo na Mohamed Ling'wenya ni innocent guys, ni raia wema kwa ushahidi wa Lut Denis Urio ambaye ndiye shahidi muhimu kuliko wote.Amethibitisha kua aliwaita kama Raia wema, aliwaita kwenda kufanya kazi ya Ulinzi, na alisema aliwaomba wakiona kuna dalili za kihalifu wampe taarifa na mpaka wanakamatwa hawakuwahi kumpa taarifa za kihalifu. Hawa makomandoo walipigwa na kuonewa bure waachiwe huru hakuna namna.

Tukirudi upande wa Mhe Mbowe , Denis Urio anakiri kabisa kuwa hakuna ushahidi wowote wa picha, Video wala audio au vifaa vyovyote alivyoona vilikuwa vitumike kufanya ugaidi...isipokuwa kuna sms chache hapo Denis Urio yeye akiomba pesa kwa Mbowe ili awakutanishe wale vijana wanne na ile ya Muamala ambayo ni ya kawaida kabisa.Mbaya zaidi hakuna seme hata moja inayothibitisha Ugaidi popote. Amebaki na maneno ya Ooh alisema titanaenda kulipua vituo vya mafuta na kukata magogo, uthibitisho wa matendo hayo hakuna hata punje. Si angemrekodi Homeboy wake akiongelea hayo matukio ili kuwepo na ushahidi?

Yaani kwa Teknolojia ilivyokua hivi sasa karne ya 21 ofisi kubwa ya DCI inakosa device yeyote ya kumrekodi Mbowe akiongeleo Ugaidi? Basi angemrekodi hayo mazungumzo ya simu. Hii tamthiliya tamu sana 🤣🤣🤣🤣🤣

Haya sasa ugaidi wa Mbowe upo kwenye nini?
Kiongozi mwenye walivyosema anapangiwa njama kuuliwa inasemekana ni Sabaya ana hukumu ya Ujambazi yupo jela. Kamba ingekuwa kweli kwani kumdhuru jambazi ni kosa?
Nchi hii ngumu Bwashee 😂
 
Mimi nilisikia aigipii anasema ushahidi wao sio malaika.
 
Nimecheka sana, Urio anasema kwenye meseji aliomba atumiwe nauli ya kuwa-mobilise watuhumiwa, akaulizwa kwa hiyo alifanya kazi ya kuwa-mobilise magaidi anajibu hapana sio mimi ni Mbowe, wakati kule juu alishakiri yeye ndie aliyetumiwa nauli ya kuwa mobilise watuhumiwa.
 
Back
Top Bottom