betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 722
Ndiyo.Kwa hiyoKomando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo.Kwa hiyoKomando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Ulidanganywa na nani?Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Hivi watu kama nyie mna utu kweli?Hivi mnajua kwa kiburi kama chako polisi walimuua binti asiye na hatia Aqwilina uliemtaja?Hivi unajua familia yake ina majonzi mpaka leo na bado unazidisha kwa kumfanyia dhihaka?Ila amini ipo siku utajutia unayotenda.Mwisho wa ubaya aibu mwangalie Sabaya ujirekebisheMaCHADEMA jipangeni kisaikolojia mnaenda kulia kama kwa Aqwilina
ThibitishaKupanga njama za kudhuru mtu ambae ni sabaya.
Kesi ya sabaya na mazingira yake na kesi ya Mbowe na mazingira yake vinafanana?Mahakama zetu zinatenda haki, mmeona kwa Sabaya? Chadema na wasio chadema wote tumeona haki imetendwa na mahakama.
Sasa hiyo hiyo mahakama itatenda haki kwa kesi ya ugaidi. Hakuna haja ya kuingilia wa kuipangia kwamba mbowe ni gaidi au siyo gaidi.
Nchi hii ngumu Bwashee 😂Kimsingi mpaka sasa wale makomandoo watatu Khalfani Bwire,Adamoo na Mohamed Ling'wenya ni innocent guys, ni raia wema kwa ushahidi wa Lut Denis Urio ambaye ndiye shahidi muhimu kuliko wote.Amethibitisha kua aliwaita kama Raia wema, aliwaita kwenda kufanya kazi ya Ulinzi, na alisema aliwaomba wakiona kuna dalili za kihalifu wampe taarifa na mpaka wanakamatwa hawakuwahi kumpa taarifa za kihalifu. Hawa makomandoo walipigwa na kuonewa bure waachiwe huru hakuna namna.
Tukirudi upande wa Mhe Mbowe , Denis Urio anakiri kabisa kuwa hakuna ushahidi wowote wa picha, Video wala audio au vifaa vyovyote alivyoona vilikuwa vitumike kufanya ugaidi...isipokuwa kuna sms chache hapo Denis Urio yeye akiomba pesa kwa Mbowe ili awakutanishe wale vijana wanne na ile ya Muamala ambayo ni ya kawaida kabisa.Mbaya zaidi hakuna seme hata moja inayothibitisha Ugaidi popote. Amebaki na maneno ya Ooh alisema titanaenda kulipua vituo vya mafuta na kukata magogo, uthibitisho wa matendo hayo hakuna hata punje. Si angemrekodi Homeboy wake akiongelea hayo matukio ili kuwepo na ushahidi?
Yaani kwa Teknolojia ilivyokua hivi sasa karne ya 21 ofisi kubwa ya DCI inakosa device yeyote ya kumrekodi Mbowe akiongeleo Ugaidi? Basi angemrekodi hayo mazungumzo ya simu. Hii tamthiliya tamu sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Haya sasa ugaidi wa Mbowe upo kwenye nini?
Kiongozi mwenye walivyosema anapangiwa njama kuuliwa inasemekana ni Sabaya ana hukumu ya Ujambazi yupo jela. Kamba ingekuwa kweli kwani kumdhuru jambazi ni kosa?
NgerengereTake note
92KJ/Mgulani
Na katiba ni kwa maslahi ya nchi na siyo ya CCM.Yote hiyo ni Mama hataki kusikia Katiba Mpya.