Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa
Baada ya kuona amekuwa mwenyekiti wa kudumu Mboe aliamua kukigeuza chama kama kampuni yake binafsi na kuanza kukitumia chama kama kichaka cha kupanga mipango ya kihalifu dhidi ya Serikli/nchi.
tulimshauri mara kadhaa ang'atuke lkn aliye diriki kugombea nafasi hiyo aligeuka kuwa adui wake!! kumbe alikuwa na agenda za kimafia dhidi ya serikali.
sasa yamemkuta.
 
Mabaunsa unazani diamond huyo? Je, wanaweza kuzuia au kupambana kwa kutumia silaha za Moto Kama zile zilizomkuta lisu. Je, hujifunza kutumia silaha?

Baunsa ilikuwa sawa kabla ya lisu
Diamond anaweza kumzidi huyo mkwale wenu
 
Pamoja na kujua hayo yote bado jeshi likawafukuza kazi na wengine wakawa madereva wa IT. Hivi jeshi halikujua kuwa hawa watu kukosa kazi ni hatari zaidi? Inakuwaje kama wangeamua kuwa majambazi?

Kuhusu Mbowe kuhitaji ulinzi wa makomandoo jibu ni kwasababu Mbowe amewahi kupigwa na kuvunjwa mguu. Lissu amewahi kupigwa risasi mchana kweupe hivyo alihitaji ulinzi wa professional na well trained personnel.
Kwa hiyo mbowe kama kiongozi anayetegemea kuongoza nchi anakubali kufanya kazi na watu ambao hawana nidhamu na utii kwenye kazi yao?
Tena wamefukuzwa kwa utovu wa nidhmu na ndio mbowe anataka kuwatumia?
 
Kwa

Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,

Hata akitoka mwambieni aache kutumia makalio sasa umli umeenda, ni muda sasa wa kutumia akili kumalizia uzee wake.

Hata kama atashinda lakini picha inaonekana alikua na nia ovu ya kuleta vurugu na kumuua sabaya.
Mwenzie alimiminiwa risasi zaidi ya 30 kati ya hizo 16 zikamuingia mwilini na silaha iliyotumika ndio hizo ambazo zinatumika vitani, sasa kwanini Mbowe asitumie Makomandoo kama tahadhari kwa usalama wake
 
Yeye sio jaji hana uwezo wa kusema kulikuwa na ugaidi au LA

Hiyo ni kazi ya jaji sio shahidi ndio maana mahakamaani hiyo kesi inaendelea ili mwisho wa siku majaji ndio waamue kuwa kulikuwa na ugaidi au
Unapomshitaki Mtu lazima uwe na uhakika latenda uhalifu huo. Yeye kama Shahidi anatakiwa athibitishe hao ni Magaidi. Sasa yeye aseme siyo Magaidi halafu Mahakama ije iseme ni Magaidi kutokea wapi? Hizo Sheria mnasomea wapi wenzetu?
 
Siku ile hangaya anahojiwa na salim kikeke ulimwelewa?

Hivi aliemkamata Mbowe ni jiwe?

Kama huyo hangaya wako hana shida kwanini amemkamata na kumshikilia Mbowe mpaka muda huu?
Hili swali hawezi kujibu.
 
Kumbe ulikuwa haujui?
mtaelimika lini nyie watu?
Si unaona msemo wao
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
Umeelewa nini hapo?
Kwa hiyo mwanajeshi akifukuzwa jeshini bado anakuwa mwanajeshi??
Kwa hiyo Hans Pope hakuwa raia??
 
Mwenzie alimiminiwa risasi zaidi ya 30 kati ya hizo 16 zikamuingia mwilini na silaha iliyotumika ndio hizo ambazo zinatumika vitani, sasa kwanini Mbowe asitumie Makomandoo kama tahadhari kwa usalama wake
Kwa hiyo alitaka kuanzisha jeshi lake kwa sheria gani ya nchi?
Pia hao makomandoo ni wale wasiokidhi kwa kuwa walishafukuzwa kwa kukosa maadili.
Kwa hiyo yeye antumia wakosaji kwa kujilinda?
Je wangemgeuka na kumfanyia uhalifu kwa kuwa tayari walikuwa watu wasio sahihi kwa kukosa maadili?

Nadhani mbowe alitaka watu wahalifu kwa kutenda uhalifu.
Angetaka watu sahihi angetumia njia shaihi ya kuwapata hata kuwakodi kutoka vitengo maarumu.

Angetoa tanagazo watu wafanyie vetting kwa sasbau hiyo haikua jambo la siri.
 
Kama hautojali naomba nikuulize, Una level gani ya elimu mkuu?
 
Leo nimeshangazwa na taarifa za shahidi wa leo, ndugu Denis Urio. Taarifa kwamba alisoma King'ori zilinishangaza kwa sababu Denis Urio aliyesoma king'ori sekondari na sio huyu aliyeko mahakani.
Denis Urio aliyesoma king'ori sekondari na Denis Urio aliyeko mahakamani ni watu wawili tofauti, upande wa utetezi nendeni king'ori sekondari kwa wazazi wa Denis Urio halisi, wanaishi jirani na shule. Mtajifunza mengi, huyu Denis wa mashakani sio mtoto wao.
 
Back
Top Bottom