Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Kataa gaidi ndani ya nchi tumza usalama wa watu na mali zao.Kichwa chako kmejaa mavi matupu
R I P Chacha wangwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kataa gaidi ndani ya nchi tumza usalama wa watu na mali zao.Kichwa chako kmejaa mavi matupu
Diamond anaweza kumzidi huyo mkwale wenuMabaunsa unazani diamond huyo? Je, wanaweza kuzuia au kupambana kwa kutumia silaha za Moto Kama zile zilizomkuta lisu. Je, hujifunza kutumia silaha?
Baunsa ilikuwa sawa kabla ya lisu
Kwa hiyo mbowe kama kiongozi anayetegemea kuongoza nchi anakubali kufanya kazi na watu ambao hawana nidhamu na utii kwenye kazi yao?Pamoja na kujua hayo yote bado jeshi likawafukuza kazi na wengine wakawa madereva wa IT. Hivi jeshi halikujua kuwa hawa watu kukosa kazi ni hatari zaidi? Inakuwaje kama wangeamua kuwa majambazi?
Kuhusu Mbowe kuhitaji ulinzi wa makomandoo jibu ni kwasababu Mbowe amewahi kupigwa na kuvunjwa mguu. Lissu amewahi kupigwa risasi mchana kweupe hivyo alihitaji ulinzi wa professional na well trained personnel.
Mwenzie alimiminiwa risasi zaidi ya 30 kati ya hizo 16 zikamuingia mwilini na silaha iliyotumika ndio hizo ambazo zinatumika vitani, sasa kwanini Mbowe asitumie Makomandoo kama tahadhari kwa usalama wakeKwa
Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,
Hata akitoka mwambieni aache kutumia makalio sasa umli umeenda, ni muda sasa wa kutumia akili kumalizia uzee wake.
Hata kama atashinda lakini picha inaonekana alikua na nia ovu ya kuleta vurugu na kumuua sabaya.
Unapomshitaki Mtu lazima uwe na uhakika latenda uhalifu huo. Yeye kama Shahidi anatakiwa athibitishe hao ni Magaidi. Sasa yeye aseme siyo Magaidi halafu Mahakama ije iseme ni Magaidi kutokea wapi? Hizo Sheria mnasomea wapi wenzetu?Yeye sio jaji hana uwezo wa kusema kulikuwa na ugaidi au LA
Hiyo ni kazi ya jaji sio shahidi ndio maana mahakamaani hiyo kesi inaendelea ili mwisho wa siku majaji ndio waamue kuwa kulikuwa na ugaidi au
Hili swali hawezi kujibu.Siku ile hangaya anahojiwa na salim kikeke ulimwelewa?
Hivi aliemkamata Mbowe ni jiwe?
Kama huyo hangaya wako hana shida kwanini amemkamata na kumshikilia Mbowe mpaka muda huu?
Jana kasema hakutoa hela hiyo Bali alichukua ya mfukoni na ya kwenye simu akawatumia ndugu zake.Alikuwa na salio jingine lililomwezesha kutoa kiasi hicho cha fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mwanajeshi akifukuzwa jeshini bado anakuwa mwanajeshi??
Kwa hiyo Hans Pope hakuwa raia??
Kwa hiyo alitaka kuanzisha jeshi lake kwa sheria gani ya nchi?Mwenzie alimiminiwa risasi zaidi ya 30 kati ya hizo 16 zikamuingia mwilini na silaha iliyotumika ndio hizo ambazo zinatumika vitani, sasa kwanini Mbowe asitumie Makomandoo kama tahadhari kwa usalama wake
[emoji3][emoji3][emoji3]huyu ndio Luteni Urio?Homeboy alijitengezea fursa ya kupiga hela kirahisi, hakujua kama kitakuja kuumana. Sasa kazi kwake kuchutama.View attachment 2098008
Kama hautojali naomba nikuulize, Una level gani ya elimu mkuu?Kwa hiyo alitaka kuanzisha jeshi lake kwa sheria gani ya nchi?
Pia hao makomandoo ni wale wasiokidhi kwa kuwa walishafukuzwa kwa kukosa maadili.
Kwa hiyo yeye antumia wakosaji kwa kujilinda?
Je wangemgeuka na kumfanyia uhalifu kwa kuwa tayari walikuwa watu wasio sahihi kwa kukosa maadili?
Nadhani mbowe alitaka watu wahalifu kwa kutenda uhalifu.
Angetaka watu sahihi angetumia njia shaihi ya kuwapata hata kuwakodi kutoka vitengo maarumu.
Angetoa tanagazo watu wafanyie vetting kwa sasbau hiyo haikua jambo la siri.
Aisee!Atakua anatumia cheti cha mtu