nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
- Thread starter
-
- #101
Alivopimwa anasema walichukua mkojo piaAkapige ultrasound nyengine halafu ulinganishe hiyo ya mwanzo na ya pili, hasa hasa mpleke kwa radiographer mzoefu. kisha linganisha mkuu.
Mara nyingi mimba ya wiki tatu haionekani kwa ultasound laba labda report itasema kuna dalili za mimba changa i.e features are suggestive of early pregnancy, na hapo radiographer ata recommend upimwe mkojo yaani UPT
😆😆😆Kimbia akisha jifungua utakuja kumzoom mtoto. Bora nusu shari kuliko shari kamili
We jamaa bwanaKama ulishapiga mimba ni ya kwako mkuu, mpaka akusingizie wewe alishaona unafaa kuwa baba wa mwanae ,tusaidiane kwa upendo tu mkuu.
Umepatia mkuu😁😁W
We jamaa bwana
Anyway inaonekana ni mtu mmoja simple hivi
Afu form four ulipata 4
Samahani mawanangu utani tu😂
Tatuma nauli uje kuchukuaNimekwambia tuma mbengu😄
Kumbe kachalii kamoja kakuotea🙆♀️Hapana shindikana 😁
Hapana, wewe tuma mbegu.Tatuma nauli uje kuchukua
Hii ni zaidi ya adhabu😂rahisisha mambo bibie....kwa mbili mbili Kwa mbili mbili imeishaHapana, wewe tuma mbegu.
Ningekua serious kidogo tu ningekua na mtoto mkubwa kuliko wako😂Mwongo tu huyo nina kijana mmoja na kabinti kamoja tu😁😁 ngoja ephen_ akupe shuhuda😁
Mimi dogo wangu nimempata nikiwa form three mkuu😁😁Ningekua serious kidogo tu ningekua na mtoto mkubwa kuliko wako😂
Mwaka wa tatu au form threeMimi dogo wangu nimempata nikiwa form three mkuu😁😁
Kidato cha tatu mkuuMwaka wa tatu au form three
Kabisa wee kama mwanamke ameamua kukubambiakia mtoto ujue kakubali u r a man endelea nae tuu🤣🤣🤣🤣Kama ulishapiga mimba ni ya kwako mkuu, mpaka akusingizie wewe alishaona unafaa kuwa baba wa mwanae ,tusaidiane kwa upendo tu mkuu.
Sio ya kwako. Kwani hata kuhesabu hujui? Na sema leo. Usisubirie ulee mimba ndo ulalamike.Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake..
Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2.
Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.
SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?
Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Kabisa mkuu, hakuna mwanamke anamsingizia mtu goigoi tu mtoto😁Kabisa wee kama mwanamke ameamua kukubambiakia mtoto ujue kakubali u r a man endelea nae tuu🤣🤣🤣🤣
Mi nlikuwa nimemaliza mtihani wa form four tunasubir tujaze zile form za kuchagua shule za advanceKidato cha tatu mkuu
Alafu hii lina ukweli....wanawake wajanja lazima wachague mwanaume mwenye future.Kabisa mkuu, hakuna mwanamke anamsingizia mtu goigoi tu mtoto😁
Hahahaha miaka ipi hiyo mkuu?Mi nlikuwa nimemaliza mtihani wa form four tunasubir tujaze zile form za kuchagua shule za advance
Kaushaaaaa😂, unataka kunikadiria eeHahahaha miaka ipi hiyo mkuu?