Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Sehemu ya kwanza (01)

Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .

Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.

Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.

Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.

Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili hali ya kuwa ameshaukana uraia wa Tanzania?

Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
 
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .

Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.

Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.

Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.

Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?

giphy.gif

Mtu ambaye ajira yake ilikua umbea na kublack mail watu maarufu anawezaje kuwa na uwezo wa kufikiri?

Mpuuzeni tu, kwangu binafsi yeye na Sa100 wako kwenye kundi moja.
 
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .

Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.

Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.

Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.

Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?

Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Aliwahi kusema Jenerali Ulimwengu,
"Serikali kufunga milango ya siasa rasmi za upinzani ni kukaribisha siasa nyingine za upinzani zisizo rasmi zilizo za hatari"
 
Mange hana impact yoyote katika hili taifa.Sema tu kwasababu watanzania wengi namba nzuri ni misukule na viongozi wenu ni hivyo hivyo ndio maana mnatumia muda mwingi kuwaza mtu ambaye yuko uamishoni asiyekuwa na jeshi bali ushawishi tu wa mitandaoni(kuwaita misukule sijakosea ndio ukweli atakaye lipokea vibaya anisamehe tu)
 
Impact anayo tena kubwa. Na historia itamuandika kwa heshima kubwa sana.

Ila inabidi tumpige spana ili akileta mawazo ya kijinga ajue kuwa tutayakataa.

moja ya mawazo ya kijinga ni kupigia promo kuleta majeshi ya wazungu yavamie nchi yetu eti kuitoa CCM. Ni kweli hatuitaki CCM lakini si kwa gharama za uvamizi wa nchi yetu.

Jambo jingine la kijinga ni kuingiza Udini ktk struggle, kwa kudai eti Wakiristo wengi wameuawa ili kupata huruma za "udini" za Trump na republicans.

Ukiondoa hayo madhaifu mawili makubwa, mengine anapiga kazi nzuri sana kuamsha awareness ya wananchi.
 
Mange hana impact yoyote katika hili taifa.Sema tu kwasababu watanzania wengi namba nzuri ni misukule na viongozi wenu ni hivyo hivyo ndio maana mnatumia muda mwingi kuwaza mtu ambaye yuko uamishoni asiyekuwa na jeshi bali ushawishi tu wa mitandaoni(kuwaita misukule sijakosea ndio ukweli atakaye lipokea vibaya anisamehe tu)
Kazi ya ubongo ni kuchuja mazuri na kutupa mabaya(makapi) tumepewa masikio mawili na mdomo mmoja. Wewe ni miongoni mwa watanzania mbu×3
 
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .

Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.

Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.

Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.

Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?

Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Shida inakuja kwamba Mange anajuwa kwamba kwa utawala uliopo hawezi kuja tena Tanzania sababu ni most wanted.
Ndy maana anatetea iingie serikali ingine ili afutiwe makosa yake ya uhaini na aweze kuja nyumbani.
Huku nyumbani ana mali zake kadhaa ndy zinazomuuma sababu kwa utawala huu hawezi kuja tena Tanzania.
Siku serikali ya rais Samia Itoe msamaha kwa watu wote pamoja na Mange kimambi,
Sidhani kama atapiga kelele zozote.,
Atasifia serikali na kuabudu.
Unakumbuka Magufuli alivyokufa na serikali ikawa ya rais Samia?
Mange si alikuwa anampigia debe mama samia?na hata picha walipiga pamoja Marekani?
Hasira za mange sio taifa bali mali zake alizoacha Tanzania.
 
Kazi ya ubongo ni kuchuja mazuri na kutupa mabaya(makapi) tumepewa masikio mawili na mdomo mmoja. Wewe ni miongoni mwa watanzania mbu×3
Safi kabisa lakini uzuri najua ukweli namba yenu nzuri ni misukule na wengi wenu mshafukiwa bahari ya hindi na huko Mtwara na hakuna kitu utafanya uzuri najua nachosema hata ungekasilika sijali
 
Shida inakuja kwamba Mange anajuwa kwamba kwa utawala uliopo hawezi kuja tena Tanzania sababu ni most wanted.
Ndy maana anatetea iingie serikali ingine ili afutiwe makosa yake ya uhaini na aweze kuja nyumbani.
Huku nyumbani ana mali zake kadhaa ndy zinazomuuma sababu kwa utawala huu hawezi kuja tena Tanzania.
Siku serikali ya rais Samia Itoe msamaha kwa watu wote pamoja na Mange kimambi,
Sidhani kama atapiga kelele zozote.,
Atasifia serikali na kuabudu.
Unakumbuka Magufuli alivyokufa na serikali ikawa ya rais Samia?
Mange si alikuwa anampigia debe mama samia?na hata picha walipiga pamoja Marekani?
Hasira za mange sio taifa bali mali zake alizoacha Tanzania.
Mange ni Mhaini?
 
Aliwahi kusema Jenerali Ulimwengu,
"Serikali kufunga milango ya siasa rasmi za upinzani ni kukaribisha siasa nyingine za upinzani zisizo rasmi zilizo za hatari"
Mleta mada jibu kwanza hapa.
 
Walio sema adui yako muombee njaa unafikiri waliwaza nini? Serikali haitaki isemwe watu wakiandamana wanauawa viongozi wanatoa maneno ya kebei kujionyesha mwananchi nikipanya na hawezi kufanya lolote.
Sasa kwa hali hii unataka nìni zaidi kuna wengine wameenda mbali kabisa ni bora hili taifa liendeshwe na wazungu tu tena Huyo Trump akimaliza kuwapiga mabomu hao viongozi afanye hili taifa kuwa koloni lake
 
Sio tu MANGE watu wa upinzani 99% ni watu WAJINGA

They know the price of everything but the value of nothing.

N.B ENDELEA KUWA MZALENDO NA USIACHE KUILINDA TASWIRA NZURI YA NCHI YAKO🇯🇲
 
Safi kabisa lakini uzuri najua ukweli namba yenu nzuri ni misukule na wengi wenu mshafukiwa bahari ya hindi na huko Mtwara na hakuna kitu utafanya uzuri najua nachosema hata ungekasilika sijali
No, point yangu ya msingi Ina uhalisia wa nilichokuandikia.
 
Taratibu hence anarudi alikokuwa kabla ya uchaguzi mkuu. Sisi bado tupo Kila la kheri kwenye uchaguzi wako huo wa kuyaaga mapambano.
 
Back
Top Bottom