Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Mara ya Mwisho nilimblock baada ya kupost Scandle ya Gara B na kimchepuko gani sijui mwaka gani.

She is just a stupid asshole, nashangaa sna wanao msikiliza huyu dada.

Kama ulivo sema yeye na Yule ni same coin tu with differrent sides


Huyo malaya anaangalia hela tu

Nilimuona mjinga alipoamua kupost video ya Prof Jay akiwa ICU

Nilichukia Sana

Nashangaa watu wanavyomuona Kama MTU muhimu Malaya Kama yule
 
Impact anayo tena kubwa. Na historia itamuandika kwa heshima kubwa sana.

Ila inabidi tumpige spana ili akileta mawazo ya kijinga ajue kuwa tutayakataa.

moja ya mawazo ya kijinga ni kupigia promo kuleta majeshi ya wazungu yavamie nchi yetu eti kuitoa CCM. Ni kweli hatuitaki CCM lakini si kwa gharama za uvamizi wa nchi yetu.

Japo jingine la kijinga ni kuingiza Udini ktk struggle, kwa kudai eti Wakiristo wengi wameuawa ili kupata huruma za "udini" za Trump na republicans.

Ukiondoa hayo madhaifu mawili makubwa, mengine anapiga kazi nzuri sana kuamsha awareness ya wananchi.
Yani mpaka anatia mashaka na kwa namna moja au nyingine anawapa pointi muhimu CCM.
 
Shida inakuja kwamba Mange anajuwa kwamba kwa utawala uliopo hawezi kuja tena Tanzania sababu ni most wanted.
Ndy maana anatetea iingie serikali ingine ili afutiwe makosa yake ya uhaini na aweze kuja nyumbani.
Huku nyumbani ana mali zake kadhaa ndy zinazomuuma sababu kwa utawala huu hawezi kuja tena Tanzania.
Siku serikali ya rais Samia Itoe msamaha kwa watu wote pamoja na Mange kimambi,
Sidhani kama atapiga kelele zozote.,
Atasifia serikali na kuabudu.
Unakumbuka Magufuli alivyokufa na serikali ikawa ya rais Samia?
Mange si alikuwa anampigia debe mama samia?na hata picha walipiga pamoja Marekani?
Hasira za mange sio taifa bali mali zake alizoacha Tanzania.
NAKATAA kwa herufi kubwa.
 
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .

Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.

Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.

Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.

Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili hali ya kuwa ameshaukana uraia wa Tanzania?

Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Unahangaika na adui wa nje wakati Kuna adui wa ndani ambaye ameua watanganyika elfu kumi!? Una akili au matope!?, Pambana na adui wa ndani kwanza huyo wa nje anakuhusu nn kama ndani kwako kunawaka moto!?
 
Taratibu hence anarudi alikokuwa kabla ya uchaguzi mkuu. Sisi bado tupo Kila la kheri kwenye uchaguzi wako huo wa kuyaaga mapambano.
Nasimamia ukweli.

Huwezi kuunga mkono jeshi la Marekani livamie nchi, huo ni usenge.

Kutoiunga mkono serikali ya samia haimaanishi tukubaliane na kila ujinga anaotuletea mange .
 
Kwa namna huyu mama wanu alivyowaua watanganyika mamilioni na mamilioni ni Bora kabisa jeshi la marekane lituvamie ili tuumie wote pamoja na mama wanu
 
Nasimamia ukweli.

Huwezi kuunga mkono jeshi la Marekani livamie nchi, huo ni usenge.

Kutoiunga mkono serikali ya samia haimaanishi tukubaliane na kila ujinga anaotuletea mange .
Kila la kheri
 
Nashukuru Baada ya kukutembezea spana bila huruma kwa sasa akili imeanza kurudi hutaki tena kushikiwa akili na huyu
FB_IMG_1766775668851.jpg
 
Wewe unaunga mkono marekani kutuvamia, unahisi mzungu anakupenda wewe ngozi nyeusi?


Kuna namna ya kuomba msaada kutoka kwao ila sio msaada wa kuvamia .
Hayo ni mashinikizo ili haki ipatikane. Unafikiri marekani wanavamia vamia tu ovyo ovyo?
 
Mimi naona Yuko sahihi kabisa kuwashtaki kwa Trumpo.
Hiyo inaitwa mwaga mboga nimwage ugali.
Tena aje na mandege makubwa aelekeze pale chamwino walikojifichia.
Si wanatawala kwa mabavu? Sasa anashtaki kwa mbavu ili aje awanyooshe.
Haijaishà hii.
 
Huyo kakana uraia wa Tanzania why anatumia sana nguvu kuisemea Tanzania?
Kwahiyo wewe umeiona Bora ukomae na mange na kusahau machungu waliyopitia watanganyika? Au Kambi Yako ya muziki nayo inapitia magumu hivyo unajaribi kujiondoa kwenye mapambano na kuangalia malisho kwanza?
 
Mimi sio fala kama wewe.

Mimi nasimamia misimamo yangu na naunga mkono kile kilichokuwa sahihi.

Bora unikate shingo kuliko kumuunga mkono mama abuduli na selekale yake ya mchongo.
Unaniita Fala ila nikikuita nyumbu unakimbilia kuita moderators kina Moderator Active na wengine.

Kweli Nyumbu hamna akili, Nyumbu ni chakula cha mamba
 
Back
Top Bottom