Sasa wewe hapo inakuuma nini? Mbona wewe ndiye kama Mange mwenyewe. Mtu na akili zako timamu unaanzisha uzi kuhusu Mange. PatheticHuyo kakana uraia wa Tanzania why anatumia sana nguvu kuisemea Tanzania?

Mkuu kua na mali hakukufanyi usiipiganie mali yako,kuipigania haki yako sio kwamba ni dalili ya weakness au kua na maisha ya dhiki,
Nikupe mfano mmoja,unakumbuka ile issue ya Nyumba kati ya Makonda na GSM?
💯, wapo tayari kuua yeyotee yule wabakie madarakani kula cake na familia zao upo sahihiBinafsi kwa hatua niliyofikia sasa hivi, mtu yeyote anayeonesha nia ya dhati ya kuiondoa CCM haijalishi anatumia njia gani nitamsapoti kwa moyo wangu wote.
So hata hili la Mange kuomba msaada Kwa jeshi la Marekani kuja kutusaidia kuing'oa CCM niko pamoja na yeye.
Yaani hata kama ikitokea M23 wanataka kutupa msaada wa kuing'oa CCM nitawa support kwa namna yoyote ile iwe ni kwa kuwapa hifadhi au chakula au kwa kuwafichia silaha.
CCM wako tayari kutumia njia yoyote ile kubaki madarakani ikiwemo kukodi mamluki kutoka nje kutuua, hivyo basi sio mbaya na sisi tukatumia mamluki kupambana nao.
Kwa tulipofika, acha tu tuigeuze nchi yetu theatre of war kama ilivyowahi kutokea Yugoslavia
Ahaa hapo sawa nimeelewaKupitia Instagram yake wakati ule wa Magufuli,alishawahi kulalamikia kwamba kuna watu wamevamia eneo lake ambalo aliachiwa na baba yake lakini anashindwa kuja kufatilia kwa sababu yeye kuwa most wanted na serikali ya Magufuli.
Akaenda mbali zaidi akasema kuna ndugu yake baba mmoja pia ana take advantage ili aweze kudhulumu lile eneo huko maeneo ya Mbweni au Tegeta alilorithi kwa baba yake..
Na akatoa warning kwamba ipo siku atarudi na kumiliki eneo lile..kwani yeye ni mmiliki halali na ana documents zote.
Unadhani nchi ikivamiwa risasi zitachagua zimpige yupi zimuache yupi?Haijalishi ni nani anakuja kuikomboa Tanganyika kwa mambo yanayoendelea ntaunga mkono.
Uchaguzi wa kuunganisha na nida
Rasimali kugawana hovyo
Gesi ya Mtwara km haipo vile na watu wamesahau kuingolea.
Kujengwa kwa bwawa la JkN na unit moja kung'ang'ana palepale haishuki
Maji ni bidhaa adimu Tanganyika.
Hospital imekuwa sehemu ya anasa kumuona Dr hosp za mikoa ni kiama.
#Na mengine mengi kadha wa kadha Trump njoo baba ulitoa hili jitu lililojimilikisha hii nchi.#
Jeshi la Marekani litavamia bila kumwaga damu za Watanzania?Sehemu ya kwanza (01)
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.
Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.
Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.
Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili hali ya kuwa ameshaukana uraia wa Tanzania?
Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Sehemu ya kwanza (01)

Mimi sio fala kama wewe.
Mimi nasimamia misimamo yangu na naunga mkono kile kilichokuwa sahihi.
Bora unikate shingo kuliko kumuunga mkono mama abuduli na selekale yake ya mchongo.