Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.
Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.
Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.
Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?
Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Aliwahi kusema Jenerali Ulimwengu,Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.
Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.
Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.
Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?
Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Mange hana impact yoyote katika hili taifa.Sema tu kwasababu watanzania wengi namba nzuri ni misukule na viongozi wenu ni hivyo hivyo ndio maana mnatumia muda mwingi kuwaza mtu ambaye yuko uamishoni asiyekuwa na jeshi bali ushawishi tu wa mitandaoni(kuwaita misukule sijakosea ndio ukweli atakaye lipokea vibaya anisamehe tu)
Kazi ya ubongo ni kuchuja mazuri na kutupa mabaya(makapi) tumepewa masikio mawili na mdomo mmoja. Wewe ni miongoni mwa watanzania mbu×3Mange hana impact yoyote katika hili taifa.Sema tu kwasababu watanzania wengi namba nzuri ni misukule na viongozi wenu ni hivyo hivyo ndio maana mnatumia muda mwingi kuwaza mtu ambaye yuko uamishoni asiyekuwa na jeshi bali ushawishi tu wa mitandaoni(kuwaita misukule sijakosea ndio ukweli atakaye lipokea vibaya anisamehe tu)
Shida inakuja kwamba Mange anajuwa kwamba kwa utawala uliopo hawezi kuja tena Tanzania sababu ni most wanted.Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki ikiwemo haki ya kuweka madarakani wagombea wanaoshinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu , pia suala la uonevu uliokithiri utokomee kabisa.
Haimaanishi tunapambana kuiweka chadema madarakani bali tunapambania haki.
Huwa ninamfuatilia Mange Kimambi kwa umakini mkubwa ila naona 90% hana nia njema na taifa hili.
Kwa nini anatumia nguvu kubwa sana kulisemea taifa hili?
Leo nimethibitisha mawazo yangu juu yake baada ya kuona taarifa mtandaoni ambayo Mange Kimambi ameomba jeshi la Marekani livamie hapa nchini kinguvu kwa kigezo cha eti kuna raia elfu 10 watanzania wameuwawa na polisi wa kitanzania, hii imenipa alarm kubwa kwamba huyu mtu ni wa kuwa naye makini sana , kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha haki inapatikana ila sio hiyo aliyoisema Mange.
Safi kabisa lakini uzuri najua ukweli namba yenu nzuri ni misukule na wengi wenu mshafukiwa bahari ya hindi na huko Mtwara na hakuna kitu utafanya uzuri najua nachosema hata ungekasilika sijaliKazi ya ubongo ni kuchuja mazuri na kutupa mabaya(makapi) tumepewa masikio mawili na mdomo mmoja. Wewe ni miongoni mwa watanzania mbu×3
Mange ni Mhaini?Shida inakuja kwamba Mange anajuwa kwamba kwa utawala uliopo hawezi kuja tena Tanzania sababu ni most wanted.
Ndy maana anatetea iingie serikali ingine ili afutiwe makosa yake ya uhaini na aweze kuja nyumbani.
Huku nyumbani ana mali zake kadhaa ndy zinazomuuma sababu kwa utawala huu hawezi kuja tena Tanzania.
Siku serikali ya rais Samia Itoe msamaha kwa watu wote pamoja na Mange kimambi,
Sidhani kama atapiga kelele zozote.,
Atasifia serikali na kuabudu.
Unakumbuka Magufuli alivyokufa na serikali ikawa ya rais Samia?
Mange si alikuwa anampigia debe mama samia?na hata picha walipiga pamoja Marekani?
Hasira za mange sio taifa bali mali zake alizoacha Tanzania.
Mleta mada jibu kwanza hapa.Aliwahi kusema Jenerali Ulimwengu,
"Serikali kufunga milango ya siasa rasmi za upinzani ni kukaribisha siasa nyingine za upinzani zisizo rasmi zilizo za hatari"
No, point yangu ya msingi Ina uhalisia wa nilichokuandikia.Safi kabisa lakini uzuri najua ukweli namba yenu nzuri ni misukule na wengi wenu mshafukiwa bahari ya hindi na huko Mtwara na hakuna kitu utafanya uzuri najua nachosema hata ungekasilika sijali