Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Binafsi kwa hatua niliyofikia sasa hivi, mtu yeyote anayeonesha nia ya dhati ya kuiondoa CCM haijalishi anatumia njia gani nitamsapoti kwa moyo wangu wote.

So hata hili la Mange kuomba msaada Kwa jeshi la Marekani kuja kutusaidia kuing'oa CCM niko pamoja na yeye.

Yaani hata kama ikitokea M23 wanataka kutupa msaada wa kuing'oa CCM nitawa support kwa namna yoyote ile iwe ni kwa kuwapa hifadhi au chakula au kwa kuwafichia silaha.

CCM wako tayari kutumia njia yoyote ile kubaki madarakani ikiwemo kukodi mamluki kutoka nje kutuua, hivyo basi sio mbaya na sisi tukatumia mamluki kupambana nao.

Kwa tulipofika, acha tu tuigeuze nchi yetu theatre of war kama ilivyowahi kutokea Yugoslavia
 
Mkuu Hujui historia na unataka kujifanya unamjua zaidi mange,kwamba mange kipindi hiki ndo ana Mali nyingi Tanzania kuliko kipindi cha JPM!?

Bure kabisa wewe
 
We Mjinga, pombe za kienyeji umeanza lini kutumia?
 
Mbona wapo na wengine wanashawishi kuanzishwa makundi ya uhasi? . Ingia tiktok usikie.

Yote haya siyo njia sahihi ya kutoka hapa tulipo. Kuendelea kushupaza Shingo kwa walioshikilia dola ndo hatari zaidi kuliko vijimaneno vya Mange. Unaelekeza jitihada sehemu isiyo sahihi, yawezekana na wewe haujui ni nini shida taifa letu linapitia. Kwa kitaalam tunawaita nyinyi ni sensationalists. Mnakimbilia kudakia jambo ambalo lina msisimko tu.
 
Huna Akili, the worst part
 
Mange na CCM hakuna wa kumbeza mwenzake.Ukilinganisha natural resources zilizopo kwenye Nchi na jinsi Nchi yenyewe ilivyo naweza kusema CCM hawana positive impact yeyote kumshinda malaya mange.
 
Mkuu Hujui historia na unataka kujifanya unamjua zaidi mange,kwamba mange kipindi hiki ndo ana Mali nyingi Tanzania kuliko kipindi cha JPM!?

Bure kabisa wewe
Ukiingia deep kama una akili timamu utaelewa shida ya Mange ni nn kwa sasa.,
Kwanini Mange amshambulie Hayati Magufuli na serikali yake kipindi kile,
Lakini baada ya Magufuli kufa akawa upande wa rais Samia?
Kama alikuwa anapingana na utawala wa Magufuli kwann alichaguwa kumsapot Mama samia baada ya Magufuli kufa?.

Alisapoti kwa sababu serikali ya Mama Samia ilipoingia madarakani ilisamehe watu wote na akiwemo Mange na alirudishiwa passport yake ya Tanzania na serikali hii iliyopo ,
hata picha alipiga na Mama samia kule Marekani.

Mange alikuwa na uhakika 💯 angerudi Tanzania muda wowote baada ya kupewa passport...
Muda mwingi alijikita kwenye mambo ya udaku na sio kukosoa serikali.
Kwa sasa anajuwa kwamba hawezi kurudi tena kurudi Tanzania labda ccm watoke madarakani..
Mange ana assets zake hapo Tanzania atazipataje na yeye most wanted na serikali iliyopita madarakani?
Lazima apush kwa vyoyote vile ccm ing'olewe .
Home sweet home.
 
Hayo ni mashinikizo ili haki ipatikane.
Mkuu Marekani aliwahi kuivamia nchi gani na haki ikapatikana?
Nchi hiyo aliyoivamia ilikua haina haki gani ila baada ya yeye kuivamia haki hiyo ikapatikana?
Unafikiri marekani wanavamia tu ovyo ovyo?
US alidai kua Saddam Husein wa Iraq ana silaha za WMD,wakati huo Colin Powel alikua secretary of state na alidai kua Iraq wana WMD tena ilikua kwenye baraza la UN,wakavamia Iraq wakaua watu na kufanya uharibifu mkubwa ila mpaka leo hawakukuta hizo silaha,

Aliyekua Prime minister wa UK Tony Blair alisema kua uvamizi ule ilikua ni mistake.
 
Big up sana Mkuu kwa hii comment,
Huu ndio ukweli halisi japo huwezi kueleweka na watu wote.
 
Ni sawa shetani huondolewa kwenye utawala kwa vita tu. Vinginevyo hatoki
 
Big up sana Mkuu kwa hii comment,
Huu ndio ukweli halisi japo huwezi kueleweka na watu wote.
Acheni kujidanganya mange Hana Mali yoyote tz. Na hili alishaliweka wazi kabisa. Kupiga picha na Samia alisema walimhadaa na anajuta kupiga picha na shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…