Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Haijalishi ni nani anakuja kuikomboa Tanganyika kwa mambo yanayoendelea ntaunga mkono.
Uchaguzi wa kuunganisha na nida
Rasimali kugawana hovyo
Gesi ya Mtwara km haipo vile na watu wamesahau kuingolea.
Kujengwa kwa bwawa la JkN na unit moja kung'ang'ana palepale haishuki
Maji ni bidhaa adimu Tanganyika.
Hospital imekuwa sehemu ya anasa kumuona Dr hosp za mikoa ni kiama.
#Na mengine mengi kadha wa kadha Trump njoo baba ulitoa hili jitu lililojimilikisha hii nchi.#
 
Unaweza kuiambua hadhira hii ni mali gani anazo tanzania
 
Wewe na Samia wenye akili mbona mnashindwa kuwashawishi hiyo'''misukule'' ukitiliana maanani kuwa misukule huwa inafuata mkumbo tu?
 
Serkali inaua watu wake sisi wananchi hatuna silaha

akitokea yeyote anayetaka kutusaidiA hata km ni shetan tutamuunga mkono
 
Yani mpaka anatia mashaka na kwa namna moja au nyingine anawapa pointi muhimu CCM.
Kwa kilichotokea tarehe kabla ya uchaguzi (utekaji na mauaji), wakati wa uchaguzi (mauaji ya kupigwa risasi rais) na baada ya uchaguzi (kufurahia mauaji na kuendelea na utekaji), ni MUHUMU sana sana nchi kama USA kuingilia kati kwa kutumia jeshi ili kulinda maisha ya raia wa Tanzania.
 
Huyo kakana uraia wa Tanzania why anatumia sana nguvu kuisemea Tanzania?
Wewe unaweza kuwa mmoja ya wauaji wa CCM au ni mpumbavu mmoja asiyejielewa. Haya tuseme siyo raia wa Tanzania, mauaji na uetekaji unayofanywa na Samia, unaona ni sawa? Yaani kama siyo rais wa Tanzania basi akae kimya watu wanapotekwa na kupigwa risasi? Idiot at highest level!
 
Kwahiyo wewe umeiona Bora ukomae na mange na kusahau machungu waliyopitia watanganyika? Au Kambi Yako ya muziki nayo inapitia magumu hivyo unajaribi kujiondoa kwenye mapambano na kuangalia malisho kwanza?
Huyu ni mpumbavu mmoja anayefaidika na mauaji ya Samia. ti alivyo mpumbavu anasema ukiwa siyo raia wa Tanzania basi huna haki ya kupiga kelele polisi wanapopiga raia risasi bila kosa lolote. Eti maelfu ya vijana waliouawa Mange hatakiwi kusema chochote. Jitu lenye linatumia jina bandia basi linataka wengine wakae kimya. Hili jamaa ni moja kati ya majinga majinga ya jukwaa hili.
 
Anachotaka ni uwajibikaji since hii inchi hata viongoz wa boronge vipi hawawajibiki au kuwajibishwa
Yeye ni whistle blower,
 
Unaweza kuiambua hadhira hii ni mali gani anazo tanzania
Kupitia Instagram yake wakati ule wa Magufuli,alishawahi kulalamikia kwamba kuna watu wamevamia eneo lake ambalo aliachiwa na baba yake lakini anashindwa kuja kufatilia kwa sababu yeye kuwa most wanted na serikali ya Magufuli.
Akaenda mbali zaidi akasema kuna ndugu yake baba mmoja pia ana take advantage ili aweze kudhulumu lile eneo huko maeneo ya Mbweni au Tegeta alilorithi kwa baba yake..
Na akatoa warning kwamba ipo siku atarudi na kumiliki eneo lile..kwani yeye ni mmiliki halali na ana documents zote.
 
Unasema kuna namna nyingi ya kufanya kuhakikisha HAKI inapatikana, lakini huweki wazi hizo namna!
 


PESA ambayo Mange anategeneza kupitia mitandao is a lot of money

Sifikirii Kama hizo Mali za urithi ndo zinaweza kumpa pressure.

Ila nachojua hizi Propaganda zake ndo zinamtajirisha .

Just imagine hiyo APP unalipia Elfu Mbili

Jiulize Ina watu wangapi kwa siku wanalipia ?

Is crazy
 
Cc : Ertugrul Bey watu wanaanza kuelewa sasa
Niwapongeze mabalozi wote wa amani,kazi mliyoifanya imeanza kuleta matunda sasa,binafsi nilijua ni swala la muda tu watu wataanza kujitambua

Nimepitia comments kwa utulivu mkubwa unaona kabisa asilimia kubwa ya watu wameanza kujielewa na hawana ushabiki Maandazi

Ila kuna wapuuzi wachache sana baada ya kuvimbiwa na amani ya nchi hii,sasa wanaona bora kuwepo kwa vikundi vya waasi ilimradi tu serikali hii iondoke madarakani,hajui uasi ukiwepo hapa nchini atatamani hata serikali ingekuwepo na mambo yake ya hovyo kwakuwa hali hiyo ikitokea hatoweza tena kufanya shughuli zake za kila siku,huenda akawa amebeba godoro na nguo zake mithili ya wakimbizi wa DRC KONGO tunavyowaona kila mara kutokana na vita za wenyewe kwa wenyewe

Ila ni mwanzo mzuri kwa Watanzania kujitambua,naamini watazidi kuuona ukweli
 
Mkuu Hujui historia na unataka kujifanya unamjua zaidi mange,kwamba mange kipindi hiki ndo ana Mali nyingi Tanzania kuliko kipindi cha JPM!?

Bure kabisa wewe
Uzuri mimi siishi kwa pasr naishi kwa present.

History ya mtu haikufanyi ukashindwa kumwelewa mtu alivyo sasa hivi.
Kama jiwe tu baada ya miaka linaota majani kwann binadamu asibadilike?
Ukimuhukumu mtu kwa history yake umefeli mkuu,
Muhukumu mtu kwa anayotenda sasa. Alitoa malamiko ya mali zake wakati ule wa Magufuli na alikuwa hana Mange app,,
Pia usidhani kama mtu akiwa na pesa atakubali mali zake zichukuliwe kirahisi.,
sometimes people fight for respect not for money .
Pia lazima uelewe Mange kwa sasa acc zake zote za insta,meta TikTok zote zimefutwa,,app yake ipo block kupokea pesa toka Tanzania.
Hana tena source ya kuingiza pesa..
Lazima awe stressed..

Hii nakupa code chukuwa .
Kwa sasa Mange anatetea ugali wake na sio taifa..
 


Basi , she is not smart Kama aliweza kukaa midomoni mwa WATU over ten years Kama blogger , socialist and now activist

Alibidi kuwa another legit hustle nje ya mitandao .

Kwakuwa kapata Sana PESA , kwa kuuza taarifa za WATU n.k
 
Basi , she is not smart Kama aliweza kukaa midomoni mwa WATU over ten years Kama blogger , socialist and now activist

Alibidi kuwa another legit hustle nje ya mitandao .

Kwakuwa kapata Sana PESA , kwa kuuza taarifa za WATU n.k
Mkuu kua na mali hakukufanyi usiipiganie mali yako,kuipigania haki yako sio kwamba ni dalili ya weakness au kua na maisha ya dhiki,
Nikupe mfano mmoja,unakumbuka ile issue ya Nyumba kati ya Makonda na GSM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…