Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

Mkuu kua na mali hakukufanyi usiipiganie mali yako,kuipigania haki yako sio kwamba ni dalili ya weakness au kua na maisha ya dhiki,
Nikupe mfano mmoja,unakumbuka ile issue ya Nyumba kati ya Makonda na GSM?


Yes nakumbuka na nimekulewa Ila huyo aliyesema kuwa Mange she is broke ndo namshangaa
 
💯, wapo tayari kuua yeyotee yule wabakie madarakani kula cake na familia zao upo sahihi
 
Ahaa hapo sawa nimeelewa
 
Unadhani nchi ikivamiwa risasi zitachagua zimpige yupi zimuache yupi?
 
Jeshi la Marekani litavamia bila kumwaga damu za Watanzania?

Kuna kale kazee kengine Facebook Kamanda Askofu Chifu Mwalafayale Bandekile naye unaweza kushangaa ni Askofu wa nini?

Nimeangalia page ya hao wanaojiita Gen-z huko Instagram kama hayo ndio malengo yao basi bora hata haya mashetani ya ccm yatushikie nchi kwa mkopo kwanza.
 
Kwa mtazamo wako njia gani sahihi kutumika kudai haki na kuondoa mfumo mbovu wa kiutawala nchini?
Au njia ya maombi na mafuta ya upako?
 
Free tundu lissu

Huyu ndio tutaandamana nae mtaa kwa mtaa
 
Huyo kahaba ni wa kupuuzwa tu, na wanaosikiliza na kuzingatia kauli zake nao wana walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…