44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!
Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force?
Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande cha Dunia hakiwezi kutoka kwenye uso wa Dunia na kuelekea kwenye anga maana Kuna gravitational imekishikiria!
Kwenye Sayari inawezekaneje kipande kimeguke na kieskepu kwenye hiyo Sayari?
Swali jingne: Kimondo kikiwa kinakuja kwenye uso wa Dunia huwa vina mwanga mkubwa Sana, lakin kikifika chini huzimika kabisa na mwanga huo hupotea kabisa, na kinakuwa ni jiwe tu Kama yalivyo mengine. Swali je huo mwanga kwanini hupotea?
Kwanini vimondo Mara nyingi hutua katika uso wa Dunia mida ya usiku?