Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niusome chap chap ili niweze kutoa muongozo 😁
Nijuacho ni (2a +a) - 24=12-3a
Umemaliza loud and clear 😂😂😂Nijuacho ni (2a +a) - 24=12-3a
Kimondo kipo Mbeya huku maeneo ya Mbozi, kuna siku tulikwenda na mwalimu wa geography kwa ajili ya kujifunza. Mimi sasa, nilikuwa nakiangalia kama jiwe tu alilotumia Daudi kumuulia Goliath(sielewagi kitu mpenzi)Umemaliza loud and clear 😂😂😂
Basi sawa
Ha ha ha😂🙌Kimondo kipo mbeya huku maeneo ya mboz,kuna siku tulikwenda na mwalimu wa geography kwa ajili ya kujifunza.....Mimi sasa,nilikuwa nakiangalia kama jiwe tu alilotumia Daudi kumuulia Goliath(sielewagi kitu mpenz)
Kipo mboz bhana,watu wakalia kupiga soga wala hakijawekewa ulinz wowoteHa ha ha😂🙌
Nikienda Mbeya nitaenda kuangaliwa kimondo
Eti kama jiwe alilotumia daudi hahahaKimondo kipo mbeya huku maeneo ya mboz,kuna siku tulikwenda na mwalimu wa geography kwa ajili ya kujifunza.....Mimi sasa,nilikuwa nakiangalia kama jiwe tu alilotumia Daudi kumuulia Goliath(sielewagi kitu mpenz)
Ha ha haaEti kama jiwe alilotumia daudi hahaha
Kwenye elimu ya anga za mbali Hicho kimondo ni muhimu sana an it can be used to unlock the secrets of space, ningekua mwalimu wako wa geography ningekupiga bakora paka uelewe hahahaha.
Wazungu wangekua washakibeba siku nyingi sema uzito wake ndio ukawa changamoto, wakaamua kukata kipande kidogo.Ha ha haa
Aisee,wasingeweza....ni chuma kabisa ile kituWazungu wangekua washakibeba siku nyingi sema uzito wake ndio ukawa changamoto, wakaamua kukata kipande kidogo.
Umefanya kazi kubwa sana ambayo wengine tulikua hatuelewi huyu ndugu utamuelewesha vp maana ni empty kabisa! Atleast sshv yale maswali yake yatakua yamepungua atapata mengine yenye uzito kidogoNimegundua uelewa wako kuhusu elimu ya unajimu sio mdogo tu bali hata hicho kidogo bado kinakuchanganya. Twende taratibu.
- Kwenye solar system kuna bodies za aina tofauti tofauti na dunia yetu ikiwemo. Utofauti mkubwa unaotofautisha bodies hizo ni size/ukubwa au diameter/kipenyo.
- Ukubwa wa body ndio unaodetermine Name, Position, na Nature ya movement in space. Sun > Planet > Asteroid > Meteoroid/ Kimondo > Space dust. Vitu vyote hivi tayari vipo katika space.
- Asteroids na Meteoroids kwenye solar system yetu yanapatikana kwa wingi katikati ya sayari ya mars na jupiter (Asteroid belt) pia yanapatikana nje kabisa ya solar system (Kuiper belt).
NOTE; All bodies in the solar system are always in motion revolving the sun.
Tuje kwenye maswali yako
1. Namna gani vimondo vinapata escape velocity.
- Pale bodies zinapogongana/collide in space husababisha asteroids au meteoroids au body nyingine yeyote kubadili uelekeo (Elastic collision) pia collision inaweza kusababisha vipande kumeguka kutoka kwenye sayari, asteroids au meteoroids.
Exp: Jaribu kugonganisha mawe mawili angani na uangalie kitakachotokea baada ya kugongana.
- Unluckly! Kama dunia ikijikuta katika mstari wa uelekeo wa body iliyobadili uelekeo basi body hiyo huangukia duniani. And if the body is big enough collision impact inaweza sababisha particles kugain escape velosity na kutoka duniani.
2. MWANGA
- Dunia imezungukwa na layer nyembamba ya gas au atmosphere. Mwanga unatokana na moto unaozalishwa baada ya kimondo kukutana na gas (Heat due to friction).
- Luckly for us on earth! atmosphere hupunguza ukubwa wa kimondo kinachofika ardhini, friction hupasua pasua kimondo na wakati mwingine kimondo kinaweza ishia angani hukuhuko bila madhara ardhini.
3. USIKU PEKEE
Jibu ni hapana! Kimondo kinaweza fika duniani muda wowote, Mchana ni ngumu moto wa kimondo kuonekana sababu ya mwanga wa jua.
- Vimondo vinaweza kuwa na composition ya mawe tuliyoyazoea duniani ( High in silicate minerals) au vinaweza kuwa chuma tupu (Iron na Nickel)
- Ukitaka kushuhudia kimondo cha chuma nenda makumbusho ya Mbozi.
NYONGEZA
Inasadikika mwezi wa dunia unaouona ukiangalia juu umetokana na kugongana kwa sayari mbili EARTH na THEIA. Theia ilimezwa na earth na vipande vilivyoruka in space (overtime) vikatengeneza mwezi.
Na ndio maana hakikuungua kikaisha na wazungu wenyewe hua wakibauni kitu huko hua wanakuja kukicheck tena na kuondokaWazungu wangekua washakibeba siku nyingi sema uzito wake ndio ukawa changamoto, wakaamua kukata kipande kidogo.
Kile chuma sio cha dunia hii yaani "out of this world" hahaha
Nin kinasababisha hyo miamba itoke kwenye mihimil yake?Sio kumeguka kutoka sayari nyingine ila kati ya Mars na Jupiter kuna miamba mikubwa inayozunguka jua kama sayari nyingine . (Asteroids) mwamba ukitoka kwenye mhimili wake unadondoka ila unaishia njiani kwa kuyeyuka. Ila Kuna mengine yanafanikiwa kufika duniani na kusababisha bonde kubwa.
Nyongeza yako sio sahihi!! Kama una source iweke mkuuNimegundua uelewa wako kuhusu elimu ya unajimu sio mdogo tu bali hata hicho kidogo bado kinakuchanganya. Twende taratibu.
- Kwenye solar system kuna bodies za aina tofauti tofauti na dunia yetu ikiwemo. Utofauti mkubwa unaotofautisha bodies hizo ni size/ukubwa au diameter/kipenyo.
- Ukubwa wa body ndio unaodetermine Name, Position, na Nature ya movement in space. Sun > Planet > Asteroid > Meteoroid/ Kimondo > Space dust. Vitu vyote hivi tayari vipo katika space.
- Asteroids na Meteoroids kwenye solar system yetu yanapatikana kwa wingi katikati ya sayari ya mars na jupiter (Asteroid belt) pia yanapatikana nje kabisa ya solar system (Kuiper belt).
NOTE; All bodies in the solar system are always in motion revolving the sun.
Tuje kwenye maswali yako
1. Namna gani vimondo vinapata escape velocity.
- Pale bodies zinapogongana/collide in space husababisha asteroids au meteoroids au body nyingine yeyote kubadili uelekeo (Elastic collision) pia collision inaweza kusababisha vipande kumeguka kutoka kwenye sayari, asteroids au meteoroids.
Exp: Jaribu kugonganisha mawe mawili angani na uangalie kitakachotokea baada ya kugongana.
- Unluckly! Kama dunia ikijikuta katika mstari wa uelekeo wa body iliyobadili uelekeo basi body hiyo huangukia duniani. And if the body is big enough collision impact inaweza sababisha particles kugain escape velosity na kutoka duniani.
2. MWANGA
- Dunia imezungukwa na layer nyembamba ya gas au atmosphere. Mwanga unatokana na moto unaozalishwa baada ya kimondo kukutana na gas (Heat due to friction).
- Luckly for us on earth! atmosphere hupunguza ukubwa wa kimondo kinachofika ardhini, friction hupasua pasua kimondo na wakati mwingine kimondo kinaweza ishia angani hukuhuko bila madhara ardhini.
3. USIKU PEKEE
Jibu ni hapana! Kimondo kinaweza fika duniani muda wowote, Mchana ni ngumu moto wa kimondo kuonekana sababu ya mwanga wa jua.
- Vimondo vinaweza kuwa na composition ya mawe tuliyoyazoea duniani ( High in silicate minerals) au vinaweza kuwa chuma tupu (Iron na Nickel)
- Ukitaka kushuhudia kimondo cha chuma nenda makumbusho ya Mbozi.
NYONGEZA
Inasadikika mwezi wa dunia unaouona ukiangalia juu umetokana na kugongana kwa sayari mbili EARTH na THEIA. Theia ilimezwa na earth na vipande vilivyoruka in space (overtime) vikatengeneza mwezi.
- You've all the information in the world (Right on your hand) yet umeshidwa kung'amua kitu kidogo kama hicho?Nyongeza yako sio sahihi!! Kama una source iweke mkuu
Mkuu hebu jaribu kunijibu kwa kujenga hoja, tuachane na Mambo ya Google kwanza!!! Tumia maarifa na ujuzi ulionao kuhusu Fizikia ya angani,habari za Google hizo ni kutaka kukalilishana tu- You've all the information in the world (Right on your hand) yet umeshidwa kung'amua kitu kidogo kama hicho?
- By typing the right worlds a simple search engine inaweza kukupa chochote unachokitaka. Mtu makini angetafuta kwanza key words alafu ndio aulize au abishe.
- Kukusaidia ebu nenda kagoogle "Giant impact hypothesis"
hii ni picha halisi au?