Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

Kuna mjuba anakataa kila kitu hapo, ila mpaka sasa yeye hajatoa hata comment moja kuelezea swala hili, kwa ufupi hii mada hakufai.
By the way mara ya mwisho kimondo kudondondoka ilikuwa lini!??
 
Majibu yako sijaridhika nayo kabisa mkuu!!! Yaan tatizo unajibu kirahis rahis Sana

• Kitendo Cha ndege na kimondo kuwaka angani huwez ukavilinganisha hata ciku moja!!! Kumbuka kuwa Ndege hata ikiwa chin huwa inawaka ,ko ndege ikiwa inatembea hewani huwa inatembea na Moto tayari,lakini kimondo huwa ni jiwe tu Tena la baridi Kama nin(nenda Mbozi ukajionee),Sasa jiwe Kama jiwe ambalo halina source yeyote ya moto inakuwaje liwe na Moto mpaka liungue kabisa??? Kuna kitu hapa hatukijui ila tunadanganyana tu!! Haiji kabisa akilini eti friction inayozarishwa na upepo iwashe jiwe gum namna hyo!!!!! Tatizo tumeshikilia Sana theory za watu waliochunguza kipind Cha nyuma hata Kama zna makosa bado tunazishikilia tu!!! Hebu jaribu kuthink beyond mkuu
Hakuna chochote beyond, Kuna jamaa mmoja alielezea vizuri sana yupo kwenye group la mambo ya anga ngoja nitatafuta yale maelezo nilete hapa.
 
Back
Top Bottom