Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

- Bing bang theory inaelezea mwanzo wa ulimwengu miaka ~ 13 bilioni iliyopita. Hii inaelezea kwamba ulimwengu ulitokea after a sudden expansion of matter, energy and space from a single point (Some kind of explosion). Kumbuka baada ya bing bang hakukua na nyota wala sayari wala body yeyote ulimwenguni, kulikua na particles tu. Baada ya ulimwengu kupoa hizo particle ziligongana na kutengeneza elements. Elements za kwanza kabisa ulimwenguni ni hydrogen (H), Helium (He) na Lithium (Li). Elements zingine zilikuja kutokea baada ya elements tajwa hapo juu kugongana ( Ukifuatilia reactions zinazopelekea jua kutoa energy utaelewa elements zenye atomic mass kubwa zilitengenezwa vipi).

Baada ya bing bang muda mrefu ulipita na majua mengi yalizaliwa na kufa ili tu kupata viungo muhimu (elements) vitakavyo sababisha formation ya bodies ulimwenguni iwezekana.

- Nebular hypothesis inaelezea mwanzo wa solar system miaka ~ 4.5 bilioni iliyopita kutoka kwenye wingu la gesi. Hii ndio inaelezea formation ya sayari ikiwemo dunia yetu.

- Continental drift theory inaelezea movement ya continental plates. Ambapo evidence zinaonyesha pangea ilianza kugawanyika miaka ~ 200 milioni iliyopita.

Nafikiri maelezo hayo yanatosha kukusaidia usiendelee kujichanganya.
naomba kuuliza sisi viumbe hai tumetoka wapi

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Ni vitabu gani pia ni principle gan? hebu taja mkuu niingie Google books nisome!! Harafu kwenye majibu yako mbona unaegemea Sana kwenye theory?? Yaan huelezei kulingana na understanding yako,theory ni Kama Ni Kama reference tu,wew ndo unatakiwa utoe maelezo yanayoonesha nin umekielewa kutoka kwenye theory!!!

•Harafu na swali langu la kuhusu kimondo kueskepu kutoka kwenye Sayari na kuanza Safari ya kuja kwenye uso wa Dunia hukujibu vizuri!!!
Hebu jaribu kujibu kwa kutumia uelewa wako ulioupata kutoka kwenye theory
kwani kimondo kinatoka kwenye sayari au anga za mbali

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!

Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force?

Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande cha Dunia hakiwezi kutoka kwenye uso wa Dunia na kuelekea kwenye anga maana Kuna gravitational imekishikiria!

Kwenye Sayari inawezekaneje kipande kimeguke na kieskepu kwenye hiyo Sayari?

Swali jingne: Kimondo kikiwa kinakuja kwenye uso wa Dunia huwa vina mwanga mkubwa Sana, lakin kikifika chini huzimika kabisa na mwanga huo hupotea kabisa, na kinakuwa ni jiwe tu Kama yalivyo mengine. Swali je huo mwanga kwanini hupotea?

Kwanini vimondo Mara nyingi hutua katika uso wa Dunia mida ya usiku?
Nafikiri kuna mahala umekua misinformed. Vimondo havitokei kwenye sayari nyingine, eti kwamba sayari inameguka vipende vinaruka? Hapana. Ni kwamba kwenye universe kuna hivo vipande-vipande vya mawe kwahio vinakua vinavutwa na jua muda wote, vikisogea karibu na sayari au mwezi wowote basi vitaangukia huko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna ndege zkiwa juu hazipat hyo friction na kuungua ???
Jibu rahis ni kwamb friction force co kubwa kulinganisha na ile ya kimondo. Kumbuk kweny space hakun gravity kwhy kmondo kina travel kwa kasi kubwa san kwhy kikiingia kweny anga letu knapokutan na hewa friction inatokea na product yake inqkiw heat ambay inazalish light
 
Mbna ndege zkiwa juu hazipat hyo friction na kuungua ???
Zikikimbia sana zinaweza kupata friction na kuungua... mfano sr-71 black bird limit ilikua ni overheating. Ingeweza kukimbia speed zaidi ya ile lakini iliishia hapo kisa joto linalosababishwa na friction. Na kufikia top speed yake ilikua mpaka ipae juu sana karibu kutoka nje ya atmosphere ambapo friction inakua minimum. Pia kuna hizi ndege aina ya concorde ambazo zilikua ndege za abiria zenye uwezo wa kukimbia supersonic (mwendo mkali kuliko sauti) zilikua zinapata joto sana kisa spidi yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ushahid gan mkuu unaoonesha kuwa baada ya bing bang theory kuwa hakukuwa na nyota Wala mwezi ??
Baada ya Big bang product yake ni Formation stars meteors asteroids planets dust na vitu kam ivo.
 
Acha uongo mkuu! !! Yaan unajibu simple in such away Kama ulikuwepo vile!!! Weeeeee acha kutufanya Kama watoto wa darasa la tatu!!!
• Mkuu hebu jaribu kelezea in detail,kuwa hiyo bing bang theory inaelezea miaka gan ndo ulifanyika huo mgawanyiko wa vitu,na je kabla na baada ya hyo miaka Mambo yalikuwaje ??
 
Ndo yaleyale umeambiwa nenda google iv kwa akili yako wewe unawez kufikilia kitu ambacho hukijui au ambacho hakipo kweny upeo wako???
Nmeona watu weng waliokujibu huko juu wamekujibu vzr lakn bado umekaza shingo.
Unafikir majibu tunatoa wapi kam sio kweny vitabu na majibu ya kweny vitabu hutaki
 
Umejuaje kam jua ni nyota kam sio kwa kuambiwa na kusoma kweny vitabu. Kama umeamin kuwa jua ni nyota kwann mengne unayoambiwa unakataa au untak tu kuleta ubishi usiokuwa na mbele wala nyuma
 
Zikikimbia sana zinaweza kupata friction na kuungua... mfano sr-71 black bird limit ilikua ni overheating. Ingeweza kukimbia speed zaidi ya ile lakini iliishia hapo kisa joto linalosababishwa na friction. Na kufikia top speed yake ilikua mpaka ipae juu sana karibu kutoka nje ya atmosphere ambapo friction inakua minimum. Pia kuna hizi ndege aina ya concorde ambazo zilikua ndege za abiria zenye uwezo wa kukimbia supersonic (mwendo mkali kuliko sauti) zilikua zinapata joto sana kisa spidi yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu yako sijaridhika nayo kabisa mkuu!!! Yaan tatizo unajibu kirahis rahis Sana

• Kitendo Cha ndege na kimondo kuwaka angani huwez ukavilinganisha hata ciku moja!!! Kumbuka kuwa Ndege hata ikiwa chin huwa inawaka ,ko ndege ikiwa inatembea hewani huwa inatembea na Moto tayari,lakini kimondo huwa ni jiwe tu Tena la baridi Kama nin(nenda Mbozi ukajionee),Sasa jiwe Kama jiwe ambalo halina source yeyote ya moto inakuwaje liwe na Moto mpaka liungue kabisa??? Kuna kitu hapa hatukijui ila tunadanganyana tu!! Haiji kabisa akilini eti friction inayozarishwa na upepo iwashe jiwe gum namna hyo!!!!! Tatizo tumeshikilia Sana theory za watu waliochunguza kipind Cha nyuma hata Kama zna makosa bado tunazishikilia tu!!! Hebu jaribu kuthink beyond mkuu
 
Acha uongo mkuu! !! Yaan unajibu simple in such away Kama ulikuwepo vile!!! Weeeeee acha kutufanya Kama watoto wa darasa la tatu!!!
• Mkuu hebu jaribu kelezea in detail,kuwa hiyo bing bang theory inaelezea miaka gan ndo ulifanyika huo mgawanyiko wa vitu,na je kabla na baada ya hyo miaka Mambo yalikuwaje ??
Big bang ilitokea 13.8 BYA... kabla ya big bang kulikua na singularity, ambayo ndio ililipuka kutengeneza hizo dust, gases etc... zikajikusanya kutengeneza nyota, sayari, miezi... mpaka leo bado nyota zinatengenezeka huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kam jua ni nyota kam sio kwa kuambiwa na kusoma kweny vitabu. Kama umeamin kuwa jua ni nyota kwann mengne unayoambiwa unakataa au untak tu kuleta ubishi usiokuwa na mbele wala nyuma
Hivi kitu Cha kuambiwa hata Kama unaona ni Cha uongo unatakiwa ukubaliane nacho tu??? Tengeneza simple Telescope uchunguze vitu vya angani then uje na majibu yako,achana na Mambo ya kucopy na kupest mkuu
 
Majibu yako sijaridhika nayo kabisa mkuu!!! Yaan tatizo unajibu kirahis rahis Sana

• Kitendo Cha ndege na kimondo kuwaka angani huwez ukavilinganisha hata ciku moja!!! Kumbuka kuwa Ndege hata ikiwa chin huwa inawaka ,ko ndege ikiwa inatembea hewani huwa inatembea na Moto tayari,lakini kimondo huwa ni jiwe tu Tena la baridi Kama nin(nenda Mbozi ukajionee),Sasa jiwe Kama jiwe ambalo halina source yeyote ya moto inakuwaje liwe na Moto mpaka liungue kabisa??? Kuna kitu hapa hatukijui ila tunadanganyana tu!! Haiji kabisa akilini eti friction inayozarishwa na upepo iwashe jiwe gum namna hyo!!!!! Tatizo tumeshikilia Sana theory za watu waliochunguza kipind Cha nyuma hata Kama zna makosa bado tunazishikilia tu!!! Hebu jaribu kuthink beyond mkuu
Mkuu kabla ya yote tunaomba na wew maoni yako unafikiri nin maan sisi tume base zaid kweny theory za kina newton za miaka ya nyuma huko kabla hatujazaliwa
 
Majibu yako sijaridhika nayo kabisa mkuu!!! Yaan tatizo unajibu kirahis rahis Sana

• Kitendo Cha ndege na kimondo kuwaka angani huwez ukavilinganisha hata ciku moja!!! Kumbuka kuwa Ndege hata ikiwa chin huwa inawaka ,ko ndege ikiwa inatembea hewani huwa inatembea na Moto tayari,lakini kimondo huwa ni jiwe tu Tena la baridi Kama nin(nenda Mbozi ukajionee),Sasa jiwe Kama jiwe ambalo halina source yeyote ya moto inakuwaje liwe na Moto mpaka liungue kabisa??? Kuna kitu hapa hatukijui ila tunadanganyana tu!! Haiji kabisa akilini eti friction inayozarishwa na upepo iwashe jiwe gum namna hyo!!!!! Tatizo tumeshikilia Sana theory za watu waliochunguza kipind Cha nyuma hata Kama zna makosa bado tunazishikilia tu!!! Hebu jaribu kuthink beyond mkuu
Wewe hapo ndio naona inabidi uthink beyond. Think beyond friction. Kumbuka vimondo vinapoingia hua vinakua vimezungukwa na gesi, gesi hizo zinainguzwa na joto kali linalosababishwa na friction. Kumbuka atmosphere yetu ina oxygen na hydrogen, perfect combination ya kuchoma kitu... na unashangaa mawe kuwaka moto? Ulisha wahi kukata vyuma ukaona nn kinatokea? Friction inayotengenezeka ukiwa unakata vyuma mbona waga zinarusha cheche za moto? Ndio ivoivo na vimondo namna hushika moto.
Na kitu kingine ni air resistance; kwa sababu ya hii ndiomaana vingi vinaungulia hukohuko juu mpaka vinaishilia. Vimondo vinavodondoka mwezini hua haviungui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kitu Cha kuambiwa hata Kama unaona ni Cha uongo unatakiwa ukubaliane nacho tu??? Tengeneza simple Telescope uchunguze vitu vya angani then uje na majibu yako,achana na Mambo ya kucopy na kupest mkuu
Nilichogundua hupendi kujifunza na kuna uwezekano kabsa ukawa una majibu yako ila unaogopa ku share.
Its OK weka na wew unachoelewa tukukosoe
 
Back
Top Bottom