Kwani NASA wanapotuma vyombo kwenda kwenye anga za mbali, vyombo ambavyo huwa vinatoka kwenye nguvu za uvutano wa dunia huwa wanafanyaje? Kwa mfano kwenye ile "MISSION TO PLUTO", iliyochukua miaka kadhaa kwa chombo kufika huko?
Ambacho huwa kinafanywa na NASA ni ku-project spacecraft kwa kutumia
velocity of escape! Wanaki-project chombo kwa kutumai force ambayo itakipa velocity ambayo itakiwezesha ku-escpae from the gravitational field of the earth.
Tukirudi sasa kwenye swali lako ni kwamba vimondo ambavyo huwa vinabahatika kutufikia hapa duniani, huwa vimebahatika ku-attain
velocity of escape kutoka kwenye gravitational field za sayari ambako vimetokea.
Kumbuka pia kuwa gravitational forces zina vary kutoka sayari moja kwenda sayari nyingine. Kwa hiyo sayari zingine kwenye mfumo wa jua nazo pia zina gravitationa forces zake tofauti na hii ya kwetu tuliyoanyo hapa duniani
Kwa maelezo zaidi kuhusina na gravitational forces kwenye mfumo wa jua, unaweza ksoma hapa
The gravity of different planets is a function of planetary mass, radius and density. Jupiter has the greatist gravitational force at its surface, and the moon has the weakest. The moon, on the other hand, exerts the strongest gravitational force on Earth because it's the closest body to our planet.
sciencing.com
- Mercury: 0.38 g
- Venus: 0.9 g
- Moon: 0.17 g
- Mars: 0.38 g
- Jupiter: 2.53 g
- Saturn: 1.07 g
- Uranus: 0.89 g
- Neptune: 1.14 g
Kuhusiana na mwanga, vimondo hivyo huwa vinaakisi mwanga kutoka kwenye nyota zingine kwenye space. Ni kama mwezi huwa tunauona ukiwa unang'aa, ila mwezi hauna mwanga isipokuwa huwa unaakisi mwanga kutoka kwenye nyota zingine